Mawalla Advocates yaijibu Jamii Forums

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Mkur%252520Nyaga%252520Mawalla%252520akiongea%252520na%252520wanahabari%2528kulia%2529%252520shoto%252520Bertholomeo%255B1%255D.JPG

Wakili kutoka Kampuni ya Mawalla Advocates kutoka Arusha Nyaga Mawalla (kulia) akionyesha kielelezo na kivuli cha gazeti moja kilichoandika habari kuhusu Kampuni ya Mawala kufanya biashara ya kununua software kwa thamani ya shlingi bilioni moja. Kampuni hiyo imekanusha mbele ya waandishi wa habari jana jijini Dar es salaam kwamba haijawahi kufanya biashara hiyo. Pichani (shoto) ni wakili Lemmy Bartholomew wa Kampuni ya Mawalla Advocates. Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.

Kama mnakumbuka yapata mwezi mmoja nilianzisha thread hapa kwenye Siasa lakini ilihamishiwa Business. Ila ilikuwa ni critical not only kwa BRELA kama institution na public body bali ili question not only utendaji wa mkuregenzi wa BRELA bwana MAHINGILA, ile thread ili question mpaka uwezo wa kishule na uwezo mdogo wa kujieleza aliouonyesha kwenye website ya BRELA.

Thread yenyewe hii hapa:

MAHINGILA of BRELA: Another dodgy CEO - JamiiForums

Apparently a local newspaper (sijui gazeti gani) bila ku-quote au kuipa JF credit kwa kugundua uozo ule wa BRELA na CEO wake kutumia 1 billion kuiuzia BRELA software ambayo haikufanya kazi.

Sasa kwa kuonyesha kuwa ile thread ilikuwa muhimu na imewagusa watu MAWALLA ADVOCATES wameitisha press conference na kukanusha kuwa hawaijauzia BRELA fake software.

Cha ajabu ni kuwa kule BRELA kwenyewe hawajataka kujibu hizi tuhuma za ubadhirifu wa pesa za umma infact wamekaa kimya as if hii issue sio muhimu kwao.

Sasa mnasema ngoma ilale au?

=================
March 23, 2013
=================

Nyaga Paul Mawalla amefariki dunia, kwa taarifa zaidi tembelea - TANZIA: Wakili maarufu Nyaga Mawalla afariki dunia - JamiiForums
 
Suala siyo fake software bali ni huo ufisadi wa ku-inflate kila transaction inayofanyika ndani ya ofisi za umma. Ukafuatilia undani wa hizi 'dili' utaona kuwa mara nyingi service provider ana-bid kwa normal market rate kisha hawa maafisa wa ofisi husika huongezea za kwao. Ugonjwa huu umeenea kila sehemu ya umma na itachukua mapinduzi ya kiwango cha 'EGYPT' kusafisha uchafu huu.
 
Kweli paa linateleza!

Hivi hii nchi kuna jambo litafanywa kwa usahihi bila kutumbukizwa kwenye ufisadi? Kuna idara yoyote ya serikali inaweza kusema kwamba yenyewe haijihusishi na ufisadi? Kuna wafanya biashara wanaofanya biashara na serikali bila ufisadi?

sliding roof, asante and now let the house slide
 
Brela nao wakanushe halafu mtoa mada amwage vithibitisho , nyaga anapenda kujitangaza siku hizi mpk ameamua kumuopoa mwandishi wa chanel ten jamila hata hapa alikuwa naye .
 
Mimi namjua Nyaga vizuri kutoka wakati wa Ilboru na si fisadi. Ni kweli kwamba ni mtu ambaye si wa bei nafuu na kama akifanya kitu ata toa bill kubwa kwa kazi yake lakini kazi yake ni nzuri na haina usirisiri hata kidogo. Ni business lawyer mzuri na nilivyoongea na wafnaya biashara na mikataba ya biashara ni mtu wa uwazi. Nyaga ni mfano mzuri kwa vijana wa Kitanzania ni jinsi gani unaweza kufanya kazi kwa maadili mema.
 
CAG walisema ataanza ukaguzi wa "Value for Money" ama ni siasa mtindo mmoja?
 
Mimi namjua Nyaga vizuri kutoka wakati wa Ilboru na si fisadi. Ni kweli kwamba ni mtu ambaye si wa bei nafuu na kama akifanya kitu ata toa bill kubwa kwa kazi yake lakini kazi yake ni nzuri na haina usirisiri hata kidogo. Ni business lawyer mzuri na nilivyoongea na wafnaya biashara na mikataba ya biashara ni mtu wa uwazi. Nyaga ni mfano mzuri kwa vijana wa Kitanzania ni jinsi gani unaweza kufanya kazi kwa maadili mema.

Are you for real?Are you reading what the whole topic is all about?Am not questioning his ability nor his success as a lawyer,the issue here is a software for 1bn??

Come on now, even if you are expensive, that is way too much for a software. No hard feelings tho!
 
Duh! pamoja na software ya 1bn bado hawakuweza kumtambua mmiliki wa DOWANS mpaka alipoamua kuja mwenyewe na kutuwekea masharti ya kuongea naye mojawapo likiwa kufumba macho wakati wa kumpiga picha. hi hi hi hih teh teh teh.
 
The problem for these criminals, they think Tanzanians are stupid like them.
 
Are you for real?Are you reading what the whole topic is all about?Am not questioning his ability nor his success as a lawyer,the issue here is a software for 1bn??

Come on now, even if you are expensive, that is way too much for a software. No hard feelings tho!

Umekuja nilipofikria
Swali kwa mawala: umeuza software kwa Brella? ni sh ngapi? swala la uadilifu hatulihitaji tunahitaji matokeo ya uadilifu
 
msando anaweza kutoa majibu kwani alikua mwajiliwa wake na huenda akawa na majibu ya msingi na huenda akasiaida
 
Mimi namjua Nyaga vizuri kutoka wakati wa Ilboru na si fisadi. Ni kweli kwamba ni mtu ambaye si wa bei nafuu na kama akifanya kitu ata toa bill kubwa kwa kazi yake lakini kazi yake ni nzuri na haina usirisiri hata kidogo. Ni business lawyer mzuri na nilivyoongea na wafnaya biashara na mikataba ya biashara ni mtu wa uwazi. Nyaga ni mfano mzuri kwa vijana wa Kitanzania ni jinsi gani unaweza kufanya kazi kwa maadili mema.

naungana na wewe kwa 100% kuhusu Nyaga Mawalla. Ni kijana mdogo ambaye si fisadi wala hana mawazo ya kifisidi ni kijana wa kuigwa na vijana wengine wanaotaka maendeleo
 
yeah hiyo ndiyo software ya bln 1
kweli tz ni zaidi ya tuijuavyo..bora tu mimi niendelee kuishi zangu DPRK maana huku ukijulikana tu na wizi nikufia jela tu hawana mchezo kabisa
Duh! pamoja na software ya 1bn bado hawakuweza kumtambua mmiliki wa DOWANS mpaka alipoamua kuja mwenyewe na kutuwekea masharti ya kuongea naye mojawapo likiwa kufumba macho wakati wa kumpiga picha. hi hi hi hih teh teh teh.
 
naungana na wewe kwa 100% kuhusu Nyaga Mawalla. Ni kijana mdogo ambaye si fisadi wala hana mawazo ya kifisidi ni kijana wa kuigwa na vijana wengine wanaotaka maendeleo
mmh how sure you are???
are u credible or persmistic?
 
Back
Top Bottom