Mawakala wa oryx ifakara hapa mnafanya wizi.

Wyclef moore

New Member
Sep 11, 2011
3
1
Ndg wana jf-bei ya gesi kg 6 dar ni elfu 19000,ruaha-kilombero ni 25000.Cha ajabu ifakara ndani ya muda mfupi sana bei iliruka kutnka 30000 ikaenda hadi 35000 kufumba na kufumbua 40000.jamani hii imepitiliza yaani mtungi wa kilo 6 elfu 40000.je oryx wanalitambua hili wana jf naombeni mawasiliano ya email ya orxx nifikishe malalamiko yangu.huu ni wizi usiovumilika
 
Mlongo we tumia kuni za kule iyanga na mkaa wa lungongole hawa jamaa huwawezi wafanyabiashara uko wezi sana hata wale mawakala wa m pesa ivyoivyo
 
Back
Top Bottom