Mawakala wa m pesa tunaibiwa commision!!

remon

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
295
48
Mimi ni wakala wa m pesa ninaye fanyia kazi zangu maeneo ya kariakoo, nina fanya sana biashara cha ajabu siku zinavyozidi kwenda wateja wanaongezeka ila commision inazidi kupungua, ni kitu cha ajabu sana. Unaendelea vodacom kufuatilia wanakuambia we hufanyi kazi wakiwa na maana nahudumia watu wachache sana ni uwizi ulio wa wazi. Kwa wale wote ambao wana biashara hii angalieni tusijekuwa tunawafanyanyia kazi watu.
 
Fafanua tafadhali, tumia na mifano elekezi
Nimekuelewa mkuu! samahani ili nisitumie nguvu nyingi kukuelekeza kwanza naomba kujua we unafanya biashara ya M PESA? nakuuliza hvyo coz kwa mtu asiyekuwa wakala itakuwa ngumu kunielewa.
 
Mkuu mimi mwenyewe siwaelewi hawa jamaa wa vodacom siku hizi, sijui niwale mawakala wasaidizi ndio wanatutafuna? Pia angalia isije ikawa umetuma pesa direct kwa mtu aliyeko mbali huwa wanakupiga faini.
 
Mkuu kuna haja ya kuangalia sana kuhusu hawa mawakala wakuu, kuhusu kutuma direct deposit niko nalo makini sana mkuu. Unajua niliisha enda kwa wakala mkuu akaniambia hata yeye hajui zaidi niende voda, coz mahesabu yote yanafanywa na voda wenyewe. Ninacho fikiria sasa ni kuchukua till kutoka kwa hao wenyewe voda then niitumie nione km kutakuwa na tofauti.
 
Pole sn,kwa bahati mbaya huwezi kupata till kutoka voda moja kwa moja kwa sasa. Hamna haja ya kulalamika ndugu yangu keep track utoaji wako wa huduma(weka taarifa kwenye kitabu chako ulichopewa) halafu kuthibitisha kama unaibiwa au huibiwi tenga siku nenda kwa aggregator wako akuoneshe statement yako ya commission, mfano ulimwekea
Sikujali Tsh 50000 angalia kwnye statement commission uliyopata kwa transaction hyo.UOTE=remon;3874299]Mkuu kuna haja ya kuangalia sana kuhusu hawa mawakala wakuu, kuhusu kutuma direct deposit niko nalo makini sana mkuu. Unajua niliisha enda kwa wakala mkuu akaniambia hata yeye hajui zaidi niende voda, coz mahesabu yote yanafanywa na voda wenyewe. Ninacho fikiria sasa ni kuchukua till kutoka kwa hao wenyewe voda then niitumie nione km kutakuwa na tofauti.[/QUOTE]
 
Voda walituma message kwamba kuanzia taerehe 15 April 2012 wameshusha gharama za huduma ya Mpesa pamoja na kupunguza commission kwa mawakala. Ulipata hii message? Kuanzia hapo nimegundua commission zao zimeshuka kupita mzaelezo!
 
Bola wewe uko Dar, sisi mkoani wanatwambia ''matatizo yenu tumeyatolea taarifa makao makuu Dar''. watatuua
 
Biashara hii ya Mpesa ni sawa na kuwanufaisha voda tu. Unaweza hudumia wateja 55,wanakuletea sms kuwa umehudumia 49,pia unapiga hesabu (kutokana na sms wanazoleta kila siku) kuwa waweza pata commision ya laki nne,lakini unapata laki 2 na sabini.
 
Watasingizia wanatoza kodi.
 
Ingekuwa jambo la busara kama mawakala wa M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money tunge unda ka umoja fulani hivi ili kutetea maslahi yetu. Tunaweza hata ku negotiate rates za commissions!
 
Kuna kitu kinaitwa stand alone.hebu jaribu kupata huduma hiyo,Manake usijepata hasira bure ukaenda Thailand na Kutuletea Barua hapa,Mara huyu ndio kanituma nina familia,nilikua kaliakoo!!!!!!!!!!!!! Fanya kazi kijana hakuna short cut katika Tz hii.
 
Mimi ni wakala wa m pesa ninaye fanyia kazi zangu maeneo ya kariakoo, nina fanya sana biashara cha ajabu siku zinavyozidi kwenda wateja wanaongezeka ila commision inazidi kupungua, ni kitu cha ajabu sana. Unaendelea vodacom kufuatilia wanakuambia we hufanyi kazi wakiwa na maana nahudumia watu wachache sana ni uwizi ulio wa wazi. Kwa wale wote ambao wana biashara hii angalieni tusijekuwa tunawafanyanyia kazi watu.

Mkuu kwani ukienda kudai chako si unakuwa na data zako kama back up? Au unaendaga kiholela holela bila A wala B?
 
Ingekuwa jambo la busara kama mawakala wa M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money tunge unda ka umoja fulani hivi ili kutetea maslahi yetu. Tunaweza hata ku negotiate rates za commissions!
Ingekua njema sana,Hawa jamaa na tabia ya kuweka agency kwa kila transaction kuna sababisha too much touching
 
Ingekuwa jambo la busara kama mawakala wa M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money tunge unda ka umoja fulani hivi ili kutetea maslahi yetu. Tunaweza hata ku negotiate rates za commissions!

Hapo kwenye suala la umoja naona ndo utata ulipo. Watanzania wana usemi mmoja ni very common when it comes to a movement for a common cause: "God for us but everyone for himself"
 
Mkuu kuna haja ya kuangalia sana kuhusu hawa mawakala wakuu, kuhusu kutuma direct deposit niko nalo makini sana mkuu. Unajua niliisha enda kwa wakala mkuu akaniambia hata yeye hajui zaidi niende voda, coz mahesabu yote yanafanywa na voda wenyewe. Ninacho fikiria sasa ni kuchukua till kutoka kwa hao wenyewe voda then niitumie nione km kutakuwa na tofauti.

utupe feedback basi baadae.
 
Kaka njoo voda
 
Back
Top Bottom