Mawakala wa kusambaza matrekta mapya wanahitajika nchini kote tanzania

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,061
281
Mawakala wa kusambaza matrekta mapya aina ya aina ya Massey Ferguson, John Deere na New Holland wanahitajika nchini kote. Ofisi zetu zipo katika barabara ya Samora, jengo la Kervin House 1st floor, linatazamana na duka la Sapna. Kwa wale wenye nia wanaweza kuja ofisini au kupiga simu kwa Mr Kitomai katika namba zifuatazo. 0717114409, 0755312233 au 0784225000.
 
Massey ferguson 240, (2wd, 50hp), $ 14,597.00
massey ferguson 260, (2wd, 60hp), $ 16,892.00
massey ferguson 375, (2wd, 75hp), $ 21,483.00
massey ferguson 385, (2wd, 85hp), $ 24,695.00
massey ferguson 385, (4wd,85hp), $ 35,771.00
hizo bei ni kwa ajili ya mtrecta mapya.
 
Mheshimiwa mbona umetoa bei ya Massey pekeyake huoko mwanzo na John Deere umedokeza naulizia 6920S kama zipo beigani Massey 260 ikiwa na jembe lake ni beigani
 
Dear sir. We have one massey ferguson1104 from england for sale in zanzibar. price is 10100 usd. tractor is 2wd and has 110 hp. for further info call+255773420188
 
Mawakala wa kusambaza matrekta mapya aina ya aina ya Massey Ferguson, John Deere na New Holland wanahitajika nchini kote. Ofisi zetu zipo katika barabara ya Samora, jengo la Kervin House 1st floor, linatazamana na duka la Sapna. Kwa wale wenye nia wanaweza kuja ofisini au kupiga simu kwa Mr Kitomai katika namba zifuatazo. 0717114409, 0755312233 au 0784225000.

Mkuu nadhani ni Kelvin House
 
Back
Top Bottom