Elections 2010 mawakala mnalijua hili?

giraffe

JF-Expert Member
Jun 6, 2010
608
196
kabla ujahesabu salaa au jk kapata kura ngapi nilazima kwanza kuhesabu jumla ya kura zilizopigwa, wasiwasi wangu ni kwamba kuna idadi kubwa ya watu wamejiandikisha kwenye vituo majina yao yapo lakini hawatakuwepo kwa sababu mbalimbali kama vile kuhama mkoa,kukata tamaa, nk.sasa wasije wenzetu chchm wakatumia mwanya huu kura zao kujumrisha pamoja na absentees.
 
mi nawasiwasi ila lets pray mkuu unajua hawawezi kushindana na nguvu ya umma hata wakichakachua vipi ukweli utabaki palepale
 
kabla ujahesabu salaa au jk kapata kura ngapi nilazima kwanza kuhesabu jumla ya kura zilizopigwa, wasiwasi wangu ni kwamba kuna idadi kubwa ya watu wamejiandikisha kwenye vituo majina yao yapo lakini hawatakuwepo kwa sababu mbalimbali kama vile kuhama mkoa,kukata tamaa, nk.sasa wasije wenzetu chchm wakatumia mwanya huu kura zao kujumrisha pamoja na absentees.
Ulilosema ni kweli tena ni jambo la muhimu kama mengine mengi ambayo hujayataja hapa. Lakini nakupongeza kwa kuwa hili ni muhimu sana.

Wakala kabla ya kuhesabu kura zilizopatikana, lazima ajue waliopiga kura ni wangapi? Hii itamsaidia kama kwanza kabla ya zoezi kuanza atachukua na records za serial number za vitabu vyote vinavyotumika kila kitabu akinakili namba ya kwanza na ya mwisho.

Pia ni vema kabla ya zoezi ahesabu kura zote zilizoigwa ni ngapi kabla ya kuanza ku sort out kira kura.
 
kabla ujahesabu salaa au jk kapata kura ngapi nilazima kwanza kuhesabu jumla ya kura zilizopigwa, wasiwasi wangu ni kwamba kuna idadi kubwa ya watu wamejiandikisha kwenye vituo majina yao yapo lakini hawatakuwepo kwa sababu mbalimbali kama vile kuhama mkoa,kukata tamaa, nk.sasa wasije wenzetu chchm wakatumia mwanya huu kura zao kujumrisha pamoja na absentees.

Hii inaweza kufanywa kirahisi kabisa kwa wakala mhusika kuwa na karatasi yake ambayo atakuwa akijumlisha idadi ya kila mtu anayeingia kwenye chumba cha kupigia kura. Mpaka mwisho wa kura atakuwa amerekodi jumla ya wapiga kura wote na hiyo idadi inatakiwa iwe sawa na jumla ya kura zote zilizopigwa. Huo ndio utaratibu pekee utakao saidia kuzuia majambazi wa CCM wasiibe au kuongea kura zisizokuwepo.
 
Swala la msingi sana hilo maana jamaa wanajua mtaji wao ni kuchakachua tu ths tym around
 
Back
Top Bottom