Mavuno House inaungua hapa posta.....

Poleni sana wana JF mulioko mumo ndani. Au Hashim Lundenga anataka kupoteza ushahidi? wa kumpa umiss Miriam Gerad??? maana ofisi zake zipo humohumo mavuno
 
jamani mie wasi wasi wangu ni kuwa haya majengo yanachukua load kubwa kuliko inavyoweza kustahamaili ....na ndo kunatokea faults za umeme hizi sasa!

kila siku tunasikia jengo limeungua!
 
Ahsante kwa taarifa, but Avatar yako inanisikitisha, kuna wakubwa zetu humu.

Thank you sana Eliumali for the useful post on this avatar. ingawa si jukwaa lake lakini duh imezidi hiyo avatar. tuwage na discipline kidogo hata kama hujulikani au huonekani. Vkeisssy do the necessary
 
Kwanza hiyo traffic jama iliyopo Dar siku hizi..hata kama fire wako efficient sijui watapaa?
Leo it took me 3 hours on the road to reach the city centre mahali ambapo ningetumia dakika 30 tu!
.

Mmesha ambiwa pikipiki ndo usafiri mbadala kwa Dar watu mnaziponda wenye pikipiki toka Tegeta mpaka K.Koo ni 30min tu wewe mwenye gari dah hehe balaa.
 
Thank you sana Eliumali for the useful post on this avatar. ingawa si jukwaa lake lakini duh imezidi hiyo avatar. tuwage na discipline kidogo hata kama hujulikani au huonekani. Vkeisssy do the necessary

hiyo avatar kama usemavyo mkuu, sio kabisaaaaa!!

mimi naogopa hata kuiangalia......lakini hebu tuangalie hili

vkeisy2006
user-online.png

Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date Fri Mar 2010 (hapa)
Posts 23
Thanks 2

Wacha iuungue,kwani hilo jumba limekuwa kama hame,ni makazi ya mipanya buku na minyaya ya umeme iliyounganishwa kienyeji,huenda baada ya kuungua litajengwa jengo jipya na matapeli yatashindwa kukodi kwa bei chee,pia kuna pamba house nao wasipoangalia itakuwa kama Mavuno house,ukiacha pale chini walipo Imalaseko huko juu ni minyaya ya umeme iko loose,na sijashangangaa mavuno kuungua kwani nyaya zimeunganishwa hovyo,oh yes nilitaka kusahau hata jengo la kevin house kwa kule nyuma balaa
 
Thank you sana Eliumali for the useful post on this avatar. ingawa si jukwaa lake lakini duh imezidi hiyo avatar. tuwage na discipline kidogo hata kama hujulikani au huonekani. Vkeisssy do the necessary

Thank you for ur support JS. Sio hii tu, kuna zingine pia. Great Thinkers, PEACE and DISCIPLINE Please, and remember this is JF Phase II.
 
Back
Top Bottom