Mavumbi ya tansoma hotel yako vipi?

Bwana Mapesa

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
2,551
1,777
Aise ukipita Nyerere Road kama unatokea Kamata unaelekea Mnazi Mmoja Kuna HOTEL upande wa kushoto inaitwa TANSOMA HOTEL, lakini ghafla ile Tansoma Imeondolewa imebaki neno "HOTEL" Wadau hebu nipeni madini kwenye hili kunani hapo Tansoma?
 
Back
Top Bottom