Mavazi...

Fanya haraka mie nataka kuleta mshenga bana! mpaka sasa kikwazo cha ndoa yetu ni hiki tu, adhawaizi mtoto umetulia kuliko festiledi wa sri lanka. aaakh jamani nakufa mie!
makubwa.....kua uyaone....ehe tukutane kwa mkuu wa wilaya basi tufunge ndoa yaishe....ndo napaki,manake nilivyokuwa najiuliza kwanini hunioi leo umesema basi ngoja nikuwahi usije ukapata kisababu kingine....l.o.l
 
Inategemea uelewa wa mkewe. Wanawale wengine ukimpeleka salon ya kike utakiona cha moto. Ataanza maswali umepajuaje na wewe mwanaume? Unamletaga nani huku?

Labda amtumie wifi yake.

Khaaa...yani saloon ni siri hivyo mpaka ifikorike wanaume hawawezi kuzijua?!Huyo basi hata akipendeza atarudi amenuna kwamba we kwanini ufikiri nahitaji kwenza saluni...alafu kesho yake anarudia rangi zake za rainbow kama kawaida!!
 
Jamani Michelle tulikuwa tunaelewana sana muda flani siku hizi mhh! naomba unisamehe kama nilikukosea/kukukwaza kwa njia yoyote ile nahitaji urafiki wako sana.
hata ungenikosea na kuniudhi singeacha kuelewana na wewe Uporoto, uwe na amani,hujanikosea wala kunikwaza.....nami pia nahitaji urafiki wako sana!
 
Karibu mami...kaa dawati la mbele na Kloro !

Aksante mydia maana mie ni mmoja wa wahanga wa situation za namna hii.............Anakununulia but ukivaa anagomba....haya labda leo ntabahatika kujua where did I go wrong..............
 
makubwa.....kua uyaone....ehe tukutane kwa mkuu wa wilaya basi tufunge ndoa yaishe....ndo napaki,manake nilivyokuwa najiuliza kwanini hunioi leo umesema basi ngoja nikuwahi usije ukapata kisababu kingine....l.o.l
Kwavile tupo kwenye sredi la mavazi hebu ongea, nipige suti la rangi gani?
 
Guys baada ya kutujulisha kwa kiasi gani msivyopenda tunavyozika nywele zetu ndani ya mawigi na weavings nimeona niulize kuhusu upande wa mavazi...!Maana hua hamuishi kulalamika sijui tunajiachia sana...wengine hawajali stlye kwao ilimradi kuvaa tu!

Je wewe unapenda mke/mchumba/mpenzi wako avae mavazi ya aina gani ili nafsi yako iridhike na kufurahi?!Kua free kuongelea occasion tofauti kwanzia nyumbani...kwenye majukumu ya kijamii mpaka mnapokua mmeongozana kwenye mitoko ya weekend!

Asante mamito kwa kuwaanzishia hii topic mana ingekuja baada ya wigiz..nawasoma vizuri na fleva zao:)
next vipodozi na viatu(high heels naona itakonga zaidi)..ha ha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom