"mavazi ya nusu uchi hunifanya niwe na mvuto zaidi"......recho

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
RECHO.jpg

RACHEL Haule ‘Recho’ anayefurukuta ndani ya Bongo Movies, amesema hupendelea kuvaa nguo fupi kwa sababu zinampa uhuru katika mitoko yake.

Katika mahojiano maalum na Mtandao huu, Recho alisema nguo fupi si tafsiri kwamba hajiheshimu na anazimikia kwa sababu pia zinamuongezea mvuto na mwenekano wake kuwa wa kisasa zaidi.

“Heshima ya mtu haiwezi kuharibiwa na mavazi, unaweza kuvaa madira na ukawa na tabia za ovyo tu. Mimi najiheshimu lakini siwezi kuacha kuvaa nguo fupi,” alisema Recho.
 
Kama ni hivyo thamani yake iko wapi? hata dhahabu na madini mengine yana thamani kwa sababu yamefichika ardhini.
Mkuu distazo Thamani yake ipo pale anapoonekana kama mnyama fulani kwani huyu bibie ndio thamani yake kutembea nusu uchi..............
 
Last edited by a moderator:
Bado anatafuta akipata atabadili vivazi na kama ana tabia nzuri basi huwa haijifichi kamwe!ata prosper kwenye kazi zake na maisha yake ya kila siku!
 
Mbona si tunakuona hujiheshim km unajiheshim hayo mapaja umemwachia nani au ndo biashara matangazo
 
Ipo siku atakutana na wazee wa kupapasa na kulenga mshale ndio atajua maana ya kuvaa nguo hizo zinazompa uhuru
 
RECHO.jpg

RACHEL Haule ‘Recho' anayefurukuta ndani ya Bongo Movies, amesema hupendelea kuvaa nguo fupi kwa sababu zinampa uhuru katika mitoko yake.

Katika mahojiano maalum na Mtandao huu, Recho alisema nguo fupi si tafsiri kwamba hajiheshimu na anazimikia kwa sababu pia zinamuongezea mvuto na mwenekano wake kuwa wa kisasa zaidi.

"Heshima ya mtu haiwezi kuharibiwa na mavazi, unaweza kuvaa madira na ukawa na tabia za ovyo tu. Mimi najiheshimu lakini siwezi kuacha kuvaa nguo fupi," alisema Recho.
Uhuru wa mitoko! wa miingio mbona hajasema? Manake ukitoka shurti uingie na ukiingia lazima utokee atiii.

RECHO.jpg

RACHEL Haule ‘Recho' anayefurukuta ndani ya Bongo Movies, amesema hupendelea kuvaa nguo fupi kwa sababu zinampa uhuru katika mitoko yake.

Katika mahojiano maalum na Mtandao huu, Recho alisema nguo fupi si tafsiri kwamba hajiheshimu na anazimikia kwa sababu pia zinamuongezea mvuto na mwenekano wake kuwa wa kisasa zaidi.

"Heshima ya mtu haiwezi kuharibiwa na mavazi, unaweza kuvaa madira na ukawa na tabia za ovyo tu. Mimi najiheshimu lakini siwezi kuacha kuvaa nguo fupi," alisema Recho.
Hayo magoma nina uzoefu nayo wa muda mrefu, uzuri wao ni wa kuwaangalia tu wakiwa na magamba yao, jamani wakivua utafikiri vitimoto sema njaa zetu nazo zinatusumbua, sasa ngoma ipo kwenye kuicheza manake mto sio mto, bwawa sio bwawa, harufu utafikiri upo mferejini, shughuli yenyewe magoigoi basi kerooooo mpaka bhaaasssss...
 
Back
Top Bottom