Mavazi ya chadema noma

mchambuzixx

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
1,292
943
jamani hili watu kukamatwa jana kisa umevaa vazi la chadema jana jijini DAR na kupelekwa vituoni kisha unaambiwa ukavue si kuingilia uhuru wa watu jamani kweli polisi wamechanganyikiwa na magwanda ya chadema
 
leo wanakamata wenye laptop na mabegi maeneo ya ubungo maji wakidhani ni udsm dent
 
Sure mkuu hawa Polisi na Magamba ni waonevu sana mwaka jana siku ya uchaguzi nilikuwa nimevaa shati ya linen kaki muundo kama wa Chadema, walinizuia mpaka kupiga ikabidi niingie dukani kununua tshirt nyingine ndio nikajpanga tena kwenye mstali.sijui vazi lina uhusiano gani na CDM.
 
Kuna watu wanakosa usingizi wakiyaona maana wanajua kuwa siku si nyingi vazi litakamata nchi
 
Du! Kama hii ni kweli basi hatuna jeshi la polisi, na sasa ndio watachochea watu tuvae kichadema kwa nguvu zote.
 
Nami nalipenda sana vazi lao la chadema wanapendeza sana na mavazi yao! Magamba na policcm wengi ni form four four for four years
 
Vazi kazi..sahivi wataanza kukamata vijana wote mjini haijalishi wewe ni K au M,this is too much.
 
jamani hili watu kukamatwa jana kisa umevaa vazi la chadema jana jijini DAR na kupelekwa vituoni kisha unaambiwa ukavue si kuingilia uhuru wa watu jamani kweli polisi wamechanganyikiwa na magwanda ya chadema
Mwishowe watatoa tamko la CDM kusitisha mavazi ya kaki maana yanafanana na polisi, tehe tehe tehe.
 
jamani hili watu kukamatwa jana kisa umevaa vazi la chadema jana jijini DAR na kupelekwa vituoni kisha unaambiwa ukavue si kuingilia uhuru wa watu jamani kweli polisi wamechanganyikiwa na magwanda ya chadema

POLISI wanayatamani hayo magwanda!
 
Ikumbukwe Vazi la CHADEMA ndio vazi pekee lililovaliwa na viongozi mashuhuri duniani katika kudai huhuru na haki za raia, Mwl Nyerere, Kwame Nkurumah na Nelson Mandera walivaa gwanda hilohilo na wanaopinga historia itawahukumu. Sasa kama polis wanajiingiza katika kashfa ya kupunguza magwanda kwa kurundika watu mahabusu, huo ni uvunjifu wa katiba na amani lakini wajue njama hiyo inahamasisha wengi tuvae gwanda ili mahabusu na magereza zifurike! Vazi la Chadema lina mvuto wa aina yake nasasa linapanda thamani kwa staili hii ya kamatakamata. mbona wazungu hawakamatwi maana ni wadau wakubwa wa vazi hili, zunguka migodi yote na kandarasi za nje zilizopo hapa utaona! sababu hilo gwanda ni sale ya wachapa kazi, yaani watu wa field wanaochapa kazi pasipo kujali hali. Well, yetu macho lakini siku inakuja polisi na wakubwa zao watashitakiwa katika mahakama ya kimataifa. Sasa hivi watanzania wengi wameshajichokea wamekata tamaa kabisa ya maisha, ndio maana nguvu ya umma sasa haizuiliki, hii yote kupinga matumizi ya mabavu na ugandamizaji wa demokrasia, uhuru wa mtu binafsi na ugumu wa maisha.
 
Back
Top Bottom