Mavazi mengine bwana!!!!!

Butterfly

Senior Member
Sep 30, 2010
126
2
attachment.php

Mwenzenu muoga lakini nasikia hawa watu ni maarufu humu mjini ni couple, sasa huyu mume ameacha chakula ya mtoto wake inaangaliwa na kila mtu sijui ndio fashion!!! Mavazi mengine.jpg
 
Egyps-women jamani na umri tuwe tunaagalia basi ingekuwa vitoto vya 18 - 25 sawa siyo hawa grownups kabisa. Inawezekana ni ushamba wangu labda
 
Mambo kama hayo ndio yananifanya nihisi labda wanawake wana akilindogo kuliko wanaume.
 
Ukiikuza hiyo picha utaona kwamba haikuwa nia ya huyo mama kuacha hiyo hoteli bila kuifunika bali kitambaa cheusi kilichotakiwa kufunika hiyo SHERATON KILISOGEA CHINI NA KUACHA CHUCHU WAZI!! SIDHANI KAMA ALIFANYA MAKUSUDI!
 
Mambo kama hayo ndio yananifanya nihisi labda wanawake wana akilindogo kuliko wanaume.

Nenda ukamuulize Harry Belafonte (muimbaji maarufu enzi za miaka ya sitini) - who is smarter, a man or a woman? Aliimba zamani hiyo.
 
na mpiga picha wao nae hakuwa observant.anashindwa kumumwambia mteja shakula ya mutoto natokezea!!?Halafu Tz proffessional fotomii wachache sana eeh!
 
na mpiga picha wao nae hakuwa observant.anashindwa kumumwambia mteja shakula ya mutoto natokezea!!?Halafu Tz proffessional fotomii wachache sana eeh!

huyo mfotoaji lengo lake ni hiyo shakula ya mutoto ss amuambie afunike akose best shots
 
Ukiikuza hiyo picha utaona kwamba haikuwa nia ya huyo mama kuacha hiyo hoteli bila kuifunika bali kitambaa cheusi kilichotakiwa kufunika hiyo SHERATON KILISOGEA CHINI NA KUACHA CHUCHU WAZI!! SIDHANI KAMA ALIFANYA MAKUSUDI!

WRONG! Amefanya makusudi. Ukiiangalia vema hiyo nguo na kuipima hata kwa macho tu utaona hicho kibandiko cha upande wa kushoto was meant to kuwa chini kidogo kuliko cha upande wa kulia na kwa maana hiyo alivyoivaa alikuwa anajua kabisa kuwa Nido lake moja litakuwa linaonekana kuliko lingine. Angalia tena.
 
Huyu dada/ mama kaacha MEWATA/saratani/ Nido/ chakula ya mtoto hadharani kwa makusudi kabisa. Maana hiyo nguo inaonyesha kuwa inatakiwa iache mambo hadharani. Kwa makusudi hata "Sindiria' Shindilia aka brazier hakuvaa ili shakula ya mtoto ionekane.
 
bei yake kubwa sana

Acheni ushamba wee na mwenzako kibhopile. Hiyo siyo miwani. Aliye-upload picha ameficha macho ya walo katika picha kwa makusudi ili kulinda maadiri, ametumia adobe photoshop kuedit picha kwa kuweka miwani pamoja na ndevu
 
We nawe yaani unadhani watu ni wajinga sana ni wewe tu ndiyo mjanja???
 
Huyu dada/ mama kaacha MEWATA/saratani/ Nido/ chakula ya mtoto hadharani kwa makusudi kabisa. Maana hiyo nguo inaonyesha kuwa inatakiwa iache mambo hadharani. Kwa makusudi hata "Sindiria' Shindilia aka brazier hakuvaa ili shakula ya mtoto ionekane.
Yaaap, nimegundua tafsiri ya uchi inategemea wakati na jamii husika. Zamani kwa akina dada maziwa yalikuwa ni sehemu ya uchi na kwa sababu hiyo hayakupaswa kuonekana hadharani. Cku hizi ni tofauti, maziwa siyo uchi tena. Ndo maana zimekuja hata style za mavazi ya kike almaarufu kata nyonyo. Ndo hali halisi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom