Maunda Zoro wamesha mvimbisha tayari!

Wale washabiki wa sauti nyororo kutoka kwa binti Maunda Zoro
msione hapatikani jukwaani siku hizi, ni kwamba ana mimba kwa sasa jamaa wameshajaza kama picha ya hivi karibuni inavyoonyesha hapo chini

Watoto wa mji mnaweza kutupa ndogo ndogo ni jamaa gani kafanya mambo?
ikiwezekana dada zetu wanaoibukia kwenye fani nao wawe makini kama ishu
inatokana na mambo ya sanaa

http://4.bp.blogspot.com/_uDjCUzboFtk/S3kpRAJ8aII/AAAAAAAABa4/DE5xd8huZU4/s1600-h/DSC01416.JPG
Nani kakuambia kuwa mimba ni uhuni au dhambi?
Na unataka kumjua aliyempa hiyo mimba ili na wewe upatiwe yako ukaitunze au?
 
So what tukushajua yote hayo?I thought ni mwanamke kama wanawake wengine and she has every right to do whatever she thinks is right for her.Tusiwe hivyo!Nenda kafanye kazi uinue uchumi wako instead of creating some stupid threads.
 
Nani kakuambia kuwa mimba ni uhuni au dhambi?
Na unataka kumjua aliyempa hiyo mimba ili na wewe upatiwe yako ukaitunze au?
Mimba ni dhambi kama kapata mwanafunzi ila kwa huyo mama mzima............ halali yake.............. ASIPOMIMBWA OHOOOOOOO HAZAI............. AKIMIMBWA OHOOOOOOOOOO ANA MIMBA MNATAKA NINI................ WE MWENDA MBIO/POLE UKIPATA MIMBA WEWE TUTASHANGAAAAAA
 
jamani alieyempa mimba ni kakaangu wala haina shida kabisa ..binti kaamua mwenyewe kuwa mama ,
 
Wabongo bana,Lady Jaydee mnasema oooh mbona hana mtoto,huyu kapata mimba mnahoji,au mmezoea vicheche wanaopenda kuzitoa eeeh?Kumbuka kuwa mimba ni sifa kwa mwanamke,na haiwezi kuwa kilema wala ugonjwa hata mara moja!!
 
Ni mimi shekhe. Dume la nyani. Kama una matatizo ya kushika mimba ni-PM. :)

Njoo ukalie DUDU ****** wewe, unafaham wazi kuwa mimi ni Dume sasa kwanini unawazuga raia humu jamvini, kujifanya eti ni PM. Kamwambie Bibi yako aku- PM
 
lakini nadhani tujaribu kuangalia hiyo picha tena,hii ni baadhi tu ya stayle za nguo za siku hizi wapenwa!ukifunga belt tumboni nguo inatuna kidogo,(ladies correct me if am wrng)nimeona leo vzr kwenye gazeti(the citizen)mbn yuko kawa tu?
 
Njoo ukalie DUDU ****** wewe, unafaham wazi kuwa mimi ni Dume sasa kwanini unawazuga raia humu jamvini, kujifanya eti ni PM. Kamwambie Bibi yako aku- PM

Ni kweli nafahamu kuwa wewe ni dume..ila hujamalizia vizuri, dume-sigara kali (yageuzwa tuuu..juu au chini kushoto kulia mashariki mangaribi).. Unamtafuta aliyemtia mimba Maunda ili iweje kaa huwashwi weyee?? Karibu kwetu Pemba utatuliwe shida zako za nyuma.
 
Hongera binti Maunda!!!!!

Mimba si ugonjwa. Na kama mtu unapost issue jaribu kutumia lugha ya heshima si ya vijiweni!!! Unawezaje kusema kuwa eti mtu kavimbishwa ukimaanisha ujauuzito?? Na kwake binti kuwa na hali ile ni uamuzi wake!! I believe she is over 18 years!!! Je wazazi wake au yeye na ndugu zake wameshakulalamikia kuwa kwao mimba ile ni tatizo kwao au kwa yule ambaye walifanya naye tendo lile!!! Please, Polite language is highly appreciated!!!
 
Back
Top Bottom