Maumivu!

Kibuti ! Kibuti !
Kinaongoza ligi ! Semea uwe hakijakupata! Mzaha tupa kulee!
NA HASA MAUMIVU YA KIBUTI , HUKUINGIA MAUNGONI PALE IKUTOKEAPO UMDHANIE NDIYE KUMBE SIYE ! NA YULE WA SIYE AKAWA NDIYE !!

Alikuambush mkuu? Kusoma alama za nyakati muhimu kaka.
 
Katika maisha ,kuna wakati wa raha na uzuni pia,,kufiwa ni jambo ambalo hua linamuumiza kila mtu pindi yanapomkuta.
Je ni jambo gani lingine(ukiondoa kufiwa) ambalo limeshawahi kukuumiza saaaaaana na hutaeza kulisahau??
yako mengi sana ambayo yametuumiza, lakini suala la kusema hutasahau, ni kujiwekea makumbukumbu yasio natija kwa ubongo zetu.
kukumbuka vile vingi vizuri, sahau yale mabaya machache.
 
Back
Top Bottom