Maumivu Zaidi ya Foleni Katikati ya Jiji

Isambe huwa naangalia viashiria vya kiwango cha wala rushwa katika jeshi la Polisi, ukikuta mnene sana ujue ana muda mrefu kazini, ukikuta mwembamba sana ujue ndio katoika CCP au kahamishiwa kitengo karibuni, aisee jamaa wanakula sana hawa yaani nadhani ndio priority ama badu huenda wana compensatena wote wanafanana si jinske au jinsme
umesahau pale matrafiki wetu wanapo jipa break ya lunch kula chips na mayai huku wakishushia na Serengeti ya vuguvugu!
 
yaani ikiwa hata benki ni foleni mbaya zaidi ukitaka kufungua akaunti (kuna benki ilikua majuzi nilifungua akaunti ndani ya dk 15!!!)au kutoa fedha zako mwenyewe eti usubiri siku 14 hundi iive au ukitaka kusajili kamouni ujipatie kipato na kuinua uchumi wa nchi usubiri siku 14 (Rwanda ni masaa 2 tu!!!)....
Dar es salaam, kila kitu ni foleni, mvua, mkutano, maandamano, kurudisha fomu za kugombea urais, mechi ya mpira, taifa stars wakienda uwanjani, sabasaba, mkuu wa kaya akienda kuangalia mgonjwa hospitali, mabomu ya mbagala, dereva wa daladala akiamua kupumzika barabarani, mahabusu wakipelekwa segerea you mention
,
 
Lakini wana bajeti kila mwaka chini ya ofisi ya waziri mkuu, zaenda wapi hizo faranga?
BORA KUMPATIA KURA MAITI KULIKO SUMAYE. yeyey aliona maumivu ya foleni hii na alikataaa kabisaaa kufanyia utatutuzi. Maadam, yeyey alikuwa kapewa fulsa ya kusimaisha magari ya saiti nyingine kusimama mili yeye apite, basi aalichunia kutatua tatizo hili la msongamano wa magari. sasa akitaka kuwania Uraisi, lazima aulizwe, kwa nini alipokuwa waziri mkuu miaka kumi, hakutaka kutatua tatizo hili ambalo yeyey alitatuliwa binafsi ila umma ulizidi kuteseka?

Msimpatie kura kabisaaa sumaye kama akitaka kuwania Uraisi. Maana aliishaonesha kuwa, hawezi kufanyia kazi maumivu ya Raia. Nilikuwa naona kila siku anapita saiti ya kulia, na magari yanasimamishwa ili yeyey apite kwa kasi na kufaidi uroda wa gari lake. Leo asijifanye eti anaweza kuja tatua matatitizo ya watanzania.
 
Back
Top Bottom