Maumivu ya shingo

yutong

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
1,601
338
Habari zenu madr wa jf! Mimi nasumbuliwa sana na maumivu ya shingo sehemu ya nyuma yahani kuanziwa kwenye kisogo mpaka sehemu za mabega.

Je tatizo itakuwa nini? Na je kuna tiba yoyote naweza pata? Asanteni sana wakuu
 
Kuna matatizo mengine ni ya kwenda hospitali tu ukapata utatuzi...tutakuja ulizana mpaka mafua hapa!

Samahani kama nimekukera lakini hii forum hai'substitute' hospitali...sidhani lengo la hii forum ni kuambiana sentensi mbili mtu unajiskiaje then uambiwe tiba and thats it. JF Doctor is more than that.

Nenda kamuone daktri ndugu yangu.
 
pole yutong, labda kichwa na mabega ni vya kichina (nakutania,lol)
pole sana.

kama umeenda hosp na kucheki kama huna malaria na vitu kama hivyo inawezekana tatizo linatokana na stress pia.

Otherwise inaweza kuwa related na kazi unayofanya (ergonomics), au godoro na mto unaolalia! last wk nilikuwa na mtaalamu mmoja akawa ananiambia shelf life (expiry ) za magodoro ya aina na quality mbalimbali! nilishangaa how i related to it!

Habari zenu madr wa jf! Mimi nasumbuliwa sana na maumivu ya shingo sehemu ya nyuma yahani kuanziwa kwenye kisogo mpaka sehemu za mabega. Je tatizo itakuwa nini? Na je kuna tiba yoyote naweza pata? Asenteni sana wakuu
 
Kwa ushauri na matibabu ya uhakika tafadhali wahi hospitali iliyo karibu na wewe.
 
Kamwone Dr. unaweza ukawa na bp, last week nilipata tatizo kama hilo, nilishindwa hata kugeuka, but mimi nilitumia mkorogo wa kitunguu saumu, asali na mlonge kwa kweli baada ya siku 3 nikawa fit, sasa nasikia maumivu kwa mbali sana; wakati unafuatilia dr. fanya mkorogo huo kama juisi yako.
 
Back
Top Bottom