Maumivu ya nyonga kwa wanaume; nini chanzo na tiba yake ikoje?

Hi JF Doctor!

Jamani wife anasumbuliwa na nyonga ya upande wa kushoto kwa kusikia maumivu makali kwa ndani mpaka kuna wakati anashindwa kutembea .

Hali hii ilianza baada ya kupata mtoto wa kwanza.Niliwahi kumpeleka hospitali akapigwa x ray wakasema hana tatizo lakini tatizo linajirudia hasa anapolala akitaka kuamka asbh mpaka afanye zoezi kidogo au atumie dawa ya maumivu ndo akuwa normal.

Naomba ushauri wenu ndugu hali hii yaweza kutibiwaje.

NAWASHUKURU.
 
Hi JF Doctor!
Jamani wife anasumbuliwa na nyonga ya upande wa kushoto kwa kusikia maumivu makali kwa ndani mpaka kuna wakati anashindwa kutembea .Hali hii ilianza baada ya kupata mtoto wa kwanza.Niliwahi kumpeleka hospitali akapigwa x ray wakasema hana tatizo lakini tatizo linajirudia hasa anapolala akitaka kuamka asbh mpaka afanye zoezi kidogo au atumie dawa ya maumivu ndo akuwa normal.
Naomba ushauri wenu ndugu hali hii yaweza kutibiwaje.
NAWASHUKURU
........
 
Back
Top Bottom