Maumivu ya mahusiano!

MAPENZI sio jambo la kukurupuka wengi wanaoumia huwa wamekurupuka ukifatilia utakuta aliingia ktk mapenzi kama starehe au ili aonekane anampenzi, kwasababu ya uzuri wa sura na mengine kama hayo lakini mapenzi sio hayo hayo ni nyongezatu kamakweli unamfuatilia mpenziwako utamgundua mapemasana kama anakupenda au anakudanganya na ndio mwanzo wa kuumia kimapenzi kamampenziwako UNAMLIZISHA hakuna siku atawaza kutoka na hata akitoka atajuta maana kilasiku unatakiwa upate kitu kipya kutoka kwa mpenziwako kinachompagawishazaidi sasa akikutana na huyo mpya ambaye ndo anaanza moja hatofikia ambapo huwa anafikishwa na mpenzi wake
labda nieleweke kuhusu UNAMLIZISHA sio kupiga mpaka magori ishilini au mpaka ulimi utoke Unaweza ukamlizisha mpenziwako wakati hujaingiza ......hebu nitafute kama unahitaji hayo
 
sasa ukienda field hali ni tofauti kabisa wengi huwa wanadefine terms and condition wakiwa tayari wapo ndani kwa maana yakwamba wameshaingia kwenye mahusiano na hivyo muda ukawa unawaponya wakajikuta wanapendana kihisia kuliko kiuhalisia.

....aisee nmependa watu wanavotiririka kwenye hii issue. ni shule tosha kwetu. gfsonwin nakubaliana nawe 100%, kwani tunapoanza mahusiana ni kama mtu anapoingia mkataba. huwezi sign mkataba bila kudefine its terms & conditions kwani itakuja kula kwako....
 
....aisee nmependa watu wanavotiririka kwenye hii issue. ni shule tosha kwetu. gfsonwin nakubaliana nawe 100%, kwani tunapoanza mahusiana ni kama mtu anapoingia mkataba. huwezi sign mkataba bila kudefine its terms & conditions kwani itakuja kula kwako....


na hili ndio tatizo kubwa sana kwa vijana na wengi sana. nilijaribu sana kuchunguza nikagundua kwamba wazee wa zamani waliokuwa wanachaguliwa wachumba walikuwa wana advantage ya kupate aina za wake ambao ni wavumilifu sana na wenye tabia walizotaka ukicompre na sisi tunaochagua wenyewe.
 
Mapenzi ni kama kuendesha gari. Siku nyingine ugonge, uvunje taa, kioo nk. Siku nyngine ipate pancha. Siku nyingine ipate ajali, achakae kabisa. Siku nyingine uichoke... Siku nyingine uchukue tax!!!
Maumivu ni part and percel ya mapenzi, they come together...
Tuko ni kosa sana kufananisha mapenzi hivi kwani maisha ndiyo yenye ups and downs ila mapenzi yako very genuine kwamba you love thats it ishu ni kwamba tunapendea wapi na kwanini?
 
Last edited by a moderator:
Hapo ndipo nilipokuwa nataka tupajadili nini cha kufanya ingawaje suala la mahusiano ni complex sana ...
Kwa sehemu ningeweza kufikiria yafuatayo ingawa ningependa kupata mawazo ya watu wengine zaidi ...

1. Kuchunguzana kabla na kisha kuifundisha nafsi na mioyo iwe na uwezo wa kusema 'no' kwa yule mwenye tabia mbaya
2. Kupunguza papara za kujiingiza kwenye mahusiano bila maandalizi
3. Vijana wajifunze kupenda na siyo kutamani
4. Kuondoa dhana ya mtu atabadilisha tabia wakati umeshaziona dalili za mvua
.... nk

Hapa unaweza kuendeleza na za kwako!

ok nimekusoma Horsepower ngoja nimsikilizie huenda mii ndo nina papara
 
Tuko ni kosa sana kufananisha mapenzi hivi kwani maisha ndiyo yenye ups and downs ila mapenzi yako very genuine kwamba you love thats it ishu ni kwamba tunapendea wapi na kwanini?

Hapana, unakosea. Maisha sio kitu kingine bali yale tuyafanyayo tukiwa hai. Ups and downs za maisha, ni migogoro na mafanikio katika yale tunayoyafanya. Mapenzi na mahusiano kwa ujumla yanachukua zaidi ya 80% ya maisha yetu. Mind you duniani ungekuwepo we mwenyewe, hata hapa JF usingekuja. Kwa hiyo usitarajie genuinity yeyote katika mapenzi. Tena kwenye mapenzi ndiko utarajie kila abuse, maana unakuwa katika emotions kali sana na mtu ambaye hata ukoo nae huna!!!

Mwanangu juzi alimwambia mama yake.. "Mama mimi nikiwa mkubwa nitaoana na mdogo wangu (wa kiume), maana yeye ni ndugu yangu najua hawezi kunipiga". Ukiiwaza sana hii kauli ya kitoto utagundua ni kwa nini hautakiwi uyachukulie sana mapenzi siriaz..
 
Mambo powa Nivea... Ushawahi kupata amumivu weye?...
alinitapisha nyongo sio maumivu tu haya mnayozungumzia hapa Tuko ni zaidi ya hayo, its a mental toucher to me.i thanks Great God my happiness is Back again.
 
Last edited by a moderator:
na hili ndio tatizo kubwa sana kwa vijana na wengi sana. nilijaribu sana kuchunguza nikagundua kwamba wazee wa zamani waliokuwa wanachaguliwa wachumba walikuwa wana advantage ya kupate aina za wake ambao ni wavumilifu sana na wenye tabia walizotaka ukicompre na sisi tunaochagua wenyewe.

gfsonwin unafikiri ndoa za zamani zilidumu kwa sababu ya vijana kuchaguliwa wachumba na wazee wao? Kwa zamani nakubali kuwa ndoa zilijengwa kwenye misingi ya tabia njema na wazazi walitumia muda mwingi kuchunguza ukoo wa mtu na historia yake kabla ya kukubali koo mbili kuingia ktk ndoa. Unafikiri utaraibu huu ndiyo suluhu ya migogoro ya maumivu ya mapenzi? Tunaweza ku-apply the same same principle kwa maisha ya sasa?
 
Solution ni
-daima kusimama katika ukweli,
-kuishi maisha yaliyo realistic, tuache kuishi maisha ya movies so so unrealistic
-kuyaelewa mapungufu ya mwenza wako na kuamua kuyaaccomodate ama ukishindwa mwache aende coz the more u stay the more the love the bitter the pain as iko siku itafikia threshhold na mtaumizana even deeper. Angalizo hapa, kama una upendo wa kweli kwa mwenza,labda kama pungufu lake ni kula nyama za watu ndo utashindwa kuaccomodate!!
 
Asante sana kwakunikumbusha HorsePower ninauhakika kabisa mungu ana makusudi makubwa kwa kila mmja wetu kuishi kwa raha sana nakuyafurahia maisha ila kwa ujinga na tamaa zetu binafsi tunayaharakisha wenyewe kwa tamaa zetu,pia horsepower inawezekana kabisa si makusudi ya mungu kupata hali ya mateso nakunyanyasika ,na iwapo ikatokea ni wanandoa /wapenzi wachache sana hujing'atua wengine huteseka mpaka kufa kama yule dada Nasra wa huko Mara.mfano:kuna dada mmja alikuwa na mahusiano pale chuoni IFM na jamaa mmja wa kikurya yule kaka alikuwa anampiga yule dada huko hostel yule dada alimwambia basi mahusiano kwisha yule bwana hakukubali mpaka yule dada akamshitaki kwa dean of student,ule uhusianao ulivunjwa na chuo na yule bwana aliambiwa akionekana hata karibu ya huyo bint atafukuzwa chuo,swali je huyu mtu umeingia naye kwenye ndoa umezaa nae watoto hata wawili je utafanyaje?hawa watu tunaokutana nao ukubwani inabidi tuwe nao makini sana sana inatubidi umchunguze mtu sasna haya ,mambo yamenikuta na ninaongea thru experience kwamba ni watu wachache sana wanatanbua thamani yao ,na kwamba usimruhusu mtu kuishusha thamani yako,katika suala la mapenzi na hizi ndoa usilazimishe utakuja jutia sana na kama ndio hizi za kikristo oh ndio ushatwikwa gunia la misumari ya moto ,inabidi umwombw mungu sana akuonyeshe mume/mke mwema na unapoona huyu mtu atanisumbua dont hesitate to quite ndugu yangu wengi ya wanawake mfano umezaa nae sasa unaona mungu wangu nitawaleaje watoto mwenyewe nitaanzia wapi hasa wanawake ndio victim wakubwa ,je jamii itanielewaje /wacha hiyo maneno move forward mungu atafungua njia .kingine ni hasa wanawake kubweyeka mpaka kudharaulkiwa its a bad sign ya mtu kukunyanya sa kwani anajua huna pa kwenda kila kitu anakupa utaenda wapi na watoto so anakunyanyasa kweli kweli tujitahidi sana wenzetu huwa wanawaachia waume watoto wanakwenda kuolewa tena hii inanisikitisha sana kwani hao watoto wanateswa vibaya mno na wengine yule baba anakuwa anambaka hii naisema maana nimeishuhudia na macho yangu.ITAMBUE THAMANI YAKO AS LING AS KAMA UNAMHESHIMU MUNGU KAMWE HUTATETEREKA.nakuambia HorsePower wapo wanawake wanateswa mpaka jamii inaingilia kuvunja ndoa yao bado mtu anangangania tu na kumbuka mwanamke anapoteseka na watoto huwa hawai vizuri fanya hii research utaniambia mwanamke anayenyanyaswa sana mbele ya watoto .watoto huathirika zaidi ya victim.nawasilisha kiongozi .
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom