Kaputula La Marx
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 562
- 493
Natumaia mu wazima wa afya njema na mnaendelea vyema na weekend hii
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mwenzenu nimekumbwa na tatizo la pumbu kuwa zinauma mara kwa mara hususani pumbu ya kushoto. Nashindwa kuelewa tatizo nini kwani hali hii sas ina kama wiki moja ambapo kuna kipindi zinauma na kuna kipindi zinaacha.
Natumai jukwaa hili lina madaktari na watu wengine wenye uelewa juu ya hili hivyo naomba msaada wenu kwani nateseka sana
Natanguliza shukrani zangu zote.