Maumivu ya Kifua

Tody's vision

Member
Sep 10, 2011
14
2
Wadau ni tkribani miezi miwili sasa nackia maumivu katikati ya kifua changu yaanu sehemu ambapo mbavu za pande mbili zinapokutana cjui ni nini hasa nahitajj ufafanuzi please?
 
Nenda hospitali. Unaweza ukawa umevunja mbavu, matatizo ya moyo etc.
 
Kuna sehemu mbili ambazo mbavu zinakutana mbele kifuan (esternal porcion)na mgongoni(vertebral region) so wap ndo kunauma? Maumivu hayo yapo Vip na upumuaji ukivuta hewa ndani na ukitoa nje je inakuaje? Na yanatembea (radiate ) na Kama ndio je ni kuelekea upande gan? Kulia au kushoto?So ukijibu maswali hayo ndugu yangu naweza kukushauri coz majibu hayo do yana determine what you may probably have
 
Ni upande wa mbele na c mgongoni ckohoi ila yanakuja nikiwa nainama au nimejikunja au nikiwa nanyanyuka wakati mwingine nikiwa nimekaa tuu yanatokea na kunawakati bega la upande wa kushoto kwa nyuma usawa wa titi linauma pia. mazowzi huwa nafanya atleast mara 3 kwa wiki yasiozidi dakika 20 lakini yamelenga hasa ktk after burn effect kwaajili ya kupunguza mafuta mwilini lkini c kwamba nimeanza juzi huwa nafanya kwa kipindi maalumu kwa kila mwaka yani nafululiza miezi mitatu nikifanya mzoezi hayo na mitatu ijayo cfanyi mpaka ipite ndo anaza tena nimekuwa nikifanya hivyo kwa takribani miaka mitano sasa je yanaweza kuwa ndo chanzo cha maumivu? cko katika diet yoyote ile
 
Back
Top Bottom