Maumivu upande wa mkono wa kushoto baada ya kunywa pombe

HAZOLE

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
1,551
708
HABARI Wandugu,
kuna rafiki yangu ni mpenzi wa pombe (whysky) ingawa huwa hanywi reguraly. ila anasema akinywa whysky(konyagi, valuer,grants nk) anahisi tumaumivu kama vichomi hivi upande wa kushoto ingawa si muda wote.je hapo nini tatizo?? au ni moyo unakuwa unaumia? au ni ini?? drs plz ushauri wenu utatufaa na wanywaji wa togwa (bia) wengine.
 
Subiria majibu kuna ma-Dr. humu. Mimi niliwahi pata maumivu ya namna hiyo ila mi situmii kinywaji chochote na nilianza mazoezi na kunywa maji kwa wingi nikapona. Nili-opt hivyo kwa sababu nilifanyiwa vipimo vyote kuanzia macho ,pressure na widal test sikupatikana na tatizo lolote.

then nikaamua kufanya maombi, kunywa maji kama lita mbili na nusu kila siku na kufanya mazoezi na baada ya wiki nikaona yametoweka mpaka leo.
 
what is the difference? they are both alcoholic!! vyote ni vileo-pombe

tusitoke nje ya mada/topic.......najua tunatofautiana background/mitazamo/elimu so mtu akiandika tofauti lakini akaeleweka its okey bana. ahsanteni nyote kwa ushauri
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom