Maumivu mengine kigamboni kuanza kesho

Kadudu

Member
Mar 22, 2008
71
10
MV MAGOGONI NA MV ALINA nauli juu kuanzia kesho kwa magari na abiria.

Mzalendo nauli ni 200 kutoka sh 100. Maana yake anatakiwa kuwa na 400 kwenda na kurudi, huyohuyo anaishi chini ya dola 1 kwa siku 1 uki-plus daladala Kigamboni kwenyewe na za mjini ni wazi hali ni maumivu zaidi.

Ongezeko la nauli eti kuweza kuendesha pantoni zingine za mikoani zinazoingiza pesa kidogo is it fare?

Wastani wa trip6 kwa saa kwa mv magogoni na watu 2000=12000 peoples times 100 (old price) = 1200000 kwa saa (kadirio la chini) bila magari n.k,1200000times 18hrs=21600000 Tsh.

Kuna haja ya kupandisha nauli kwa 100%? Pengine ni sahihi naomba maoni kwa anayejua gharama plz
 
Mbunge na diwani wa kigamboni plus wale wa mbagala, mkiwaludisha kwenye uongozi mtatenda dhambi isiyosameheka kwa MUNGU.
 
Nadhani wameogopa madhara yake maana asubuhi hii wametoza mia eti mpaka taarifa nyingine itoke.
 
Back
Top Bottom