Fahamu zaidi kuhusu tatizo la maumivu ya magoti (Osteoarthritis)

Ninamatatizo kwenye JOINT za miguu,ule uteute umepungua hali inayonipelekea kushindwa hata kuchuchumaa vizuri au kupiga magoti, wakat mwingne miguu huniuma sana pindi napotembea umbali mrefu ..!, Naombeni msaada nitumie dawa gan

Pendelea kunywa supu ya makongoro na mchemsho wa bamia tupu inasaidia sana.
 
Nina matatizo kwenye JOINT za miguu, ule uteute umepungua hali inayonipelekea kushindwa hata kuchuchumaa vizuri au kupiga magoti, wakati mwingine miguu huniuma sana pindi napotembea umbali mrefu .

Naombeni msaada nitumie dawa gani?

Kuna product kutoka forever living inaitwa forever freedom inasaidia sana hilo tatizo, kipindi kifupi tu baada ya kuanza kuitumia maumivu yataisha ni PM no yako kama utahitaji maelezo zaidi
 
Habari za leo mimi nimepata ajali nilikuwa nacheza mpira basi mguu wangu ukategukia upande WA kulia Mwa goti langu na kile kitanga cha goti kikasogea wamenifunga pop Ila limepwaya na ni siku ya tatu tu je alitoleta tatzo kubwa apa gotini NA kufunga pop ndyo tiba sahihi NA je nivitu gani naweza kutumia likaimarika haraka? kama vyakula nk?tafadhali nisaidie
 
Nina matatizo kwenye JOINT za miguu, ule uteute umepungua hali inayonipelekea kushindwa hata kuchuchumaa vizuri au kupiga magoti, wakati mwingine miguu huniuma sana pindi napotembea umbali mrefu .

Naombeni msaada nitumie dawa gani?
Kwa ushauri wngu nenda kwa daktari upime kimpimo kiitwacho uric acid hiki kipimo kitaonyesha wingi wa calcium. Kama kipimo hiki kitaonyesha wingi wa calcium basi tambua tu kwamba una ugonjwa uitwao Rumatoid athiretis. Huu ugonjwa ni hatari sn mana unashambulia viungo haswa.

Unasaga mifupa nakuleta ulemavu. Lakini kama utawai basi kuna dawa na medical attention ambayo utapewa ili usije ukafikia hatua ya kulemaa.

Kwa mfano unaweza ukavalishwa kiungio cha chuma ili kuepusha kusagika kwa mfupa ama mifupa. Anyway nisikutishe sana hii si taluma yangu mana mimi nasema out of experience with my sister ambaye kwa kweli inauma mm kusema ila na mm kwa ndugu yangu ni victim of this disease. See a doctor whose professionally qualified to medical details.
 
Asante sana mkuu kwa ushauri ntajitahidi kuufuata lakini kwa sasa nina maumivu makali sana siwezi kuanza kufanya mazoezi mpaka pale ntakapo pata nafuu.
kama maumivu ni makali sana na huwezi fanya mazoezi jitahidi KULA MBOGA ZA SPINACH,BAMIA MAJANI YA MLONGE,PURSLANE KWA WINGI ILI KUONGEZA CALCIUM AMBAYO IMEPUNGUA SANA NDIO SABABU YA MAUMIVU HAYO
 
Dawa ya Maumivu ya Magoti . juici ya Bamia.

Tayarisha mabamia kama 2 mpaka 4 kwa siku , yakoshe vizuri halafu yakate slice ndogo ndogo. Yatie kwenye jagi na maji safi ambayo Unaweza kupata glass kama tatu za maji kwa muda wa saa hadi masaa mawili. baada ya hapo utapata maji mazito ya urenda uwe unakunywa mara 3 hadi nne kwa siku. tumia hii dawa kisha unipe feedBack. Au tumia Dawa hii...
Heshima kwako Mkuu,

Hakuna huwa kila ninapopata muda wa kupitia huku na kukutana na Ushauri wako wa kitabibu huwa siuachi Bali nautumia kwangu binafsi kama Nina tatizo husika au nalipeleka kwa mtu ninayejua anatatizo hilo na siku zote napata matokeo chanya kwa 100%.

Napenda kuuliza, Bado hupo JF?

Ubarikiwe sana
 
Heshima kwako Mkuu,
Hakuna huwa kila ninapopata muda wa kupitia huku na kukutana na Ushauri wako wa kitabibu huwa siuachi Bali nautumia kwangu binafsi kama Nina tatizo husika au nalipeleka kwa mtu ninayejua anatatizo hilo na siku zote napata matokeo chanya kwa 100%.

Napenda kuuliza, Bado hupo JF?

Ubarikiwe sana
Habari yako ndugu? Nipo mkuu poa tuko pamoja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom