Maumivu gani yanakera kuliko yote kwenye list hii?

Byera1

Member
May 10, 2012
9
3
1: kujikwaa kwenye kona ya kitanda ktk kidore cha mwisho ukiwa unatoka kulala
2:kujing'ata ulimi wkt unakula
3:kuachwa na mme au mke
4:kujikwaa hadi kucha ing'oke
5:kukataliwa na unayempenda
6:kuchomwa na sindano ya cherehan wkt unashona
7:mme au mke kutoka nje ya ndoa
8:kuingiwa na pilipili kwenye macho
9:ukipata mwenzio akawa mzinifu kupita kiasi
vip kuna jibu hapo?
 
Lizzy...,.............,....!!!!??!! any way, maumivu ni maumivu ilimradi yanaumiza
 
Last edited by a moderator:
Umeyachanganya mno,
uchambuzi unakuwa mgumu,
ungeanza na ya ndoa,
umalizie na ya kawaida mkuu

1: kujikwaa kwenye kona ya kitanda ktk kidore cha mwisho ukiwa unatoka kulala
2:kujing'ata ulimi wkt unakula
3:kuachwa na mme au mke
4:kujikwaa hadi kucha ing'oke
5:kukataliwa na unayempenda
6:kuchomwa na sindano ya cherehan wkt unashona
7:mme au mke kutoka nje ya ndoa
8:kuingiwa na pilipili kwenye macho
9:ukipata mwenzio akawa mzinifu kupita kiasi
vip kuna jibu hapo?
 
Dah! Kakakakakakakakaka! Lizzy, nimeshtuka watu wakinicheka.
 
Last edited by a moderator:
1: kujikwaa kwenye kona ya kitanda ktk kidore cha mwisho ukiwa unatoka kulala
2:kujing'ata ulimi wkt unakula
3:kuachwa na mme au mke
4:kujikwaa hadi kucha ing'oke
5:kukataliwa na unayempenda
6:kuchomwa na sindano ya cherehan wkt unashona
7:mme au mke kutoka nje ya ndoa
8:kuingiwa na pilipili kwenye macho
9:ukipata mwenzio akawa mzinifu kupita kiasi
vip kuna jibu hapo?

10. Kujigonga kamfupa kaliko pembeni ya kiwiko cha mkono kwa ndani.
 
1: Kujikwaa kwenye kona ya kitanda ktk kidore cha mwisho ukiwa unatoka kulala
2:kujing'ata ulimi wkt unakula
3:kuachwa na mme au mke
4:kujikwaa hadi kucha ing'oke
5:kukataliwa na unayempenda
6:kuchomwa na sindano ya cherehan wkt unashona
7:mme au mke kutoka nje ya ndoa
8:kuingiwa na pilipili kwenye macho
9:ukipata mwenzio akawa mzinifu kupita kiasi
vip kuna jibu hapo?

kuishi nchi anayoiongoza jk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom