Bob Lee Swagger
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 1,362
- 515
Biologically, tabia na/au muonekano(phenotype) wa Mtu ni 40% mazingira na 60% kurithi! That remains true, until proven otherwise!
Kwa msingi huo then unachokiongea hakina mashiko.
Kujiamini na kutokujiamini wanasaikolojia wanasema inaletwa na jinsi mtu anavyokuwa handled anapokua anafundishwa vitu tofauti tofauti utotoni, kuanzia toilet training, which is believed to be the first actual training given to a child, hadi namna wanavyoku'treat katika kuhamasisha curiosity na leadership.
So hapo tena hoja yako haina mashiko.
Kimsingi hauwezi kutumia tabia za hao wafupi wachache, wasiojiamini na wanaopiga piga vifua na kunyanyua miguu wakati wanabishana kuongelea kuhusu tabia za wafupi wote kwa sababu issue ya tabia za binadamu iko very diverse.
sijadeclare interest wakati naanza coz mimi sio mfupi:lol:...