Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,270
- 8,031
hii hi hi hi hi hii hi, ah haha haha ha! Mmmnh!? JF chiboko. Vp mkuu umeguswa?
inawezekana jamaa ni petit huyo
hii hi hi hi hi hii hi, ah haha haha ha! Mmmnh!? JF chiboko. Vp mkuu umeguswa?
Kwamba madada wenye midomo mipana na nafasi kubwa kati ya kidolegumba cha mguu na vidole vingine wana K si mchezo
unaaandika na kufikiri kwa kutumia MASABURI
hahah, hallow wadau wa jf habari zenyu jamani mm ni mgeni ndiyo nimejiunga leo......
watu wafupi kuna uwezekana mkubwa sana akili zao ni fupi
wanawake wanene na weupe wengi wana tabia ya dharau kwa wanaume na wanawake wenzao. Na wanawake wanene, weupe au weusi wengi ni wavivu kweli
watu wafupi kuna uwezekana mkubwa sana akili zao ni fupi
hahah, hallow wadau wa jf habari zenyu jamani mm ni mgeni ndiyo nimejiunga leo......
kwamba madada wenye midomo mipana na nafasi kubwa kati ya kidolegumba cha mguu na vidole vingine wana k si mchezo
wanawake wanene na weupe wengi wana tabia ya dharau kwa wanaume na wanawake wenzao. Na wanawake wanene, weupe au weusi wengi ni wavivu kweli
Wachina inakuaje kuhusu hili,mbona wanaanzaa kuitawala dunia ktk nyanja za uchumi,ujenzi na tecknolojia hebu tafakari alafu chukua hatua
kwa hiyo leonel messi ana akili fupi kuliko Peter Crouch?watu wafupi kuna uwezekana mkubwa sana akili zao ni fupi
Niliwahi kusoma hii mahali zamani kidogo.Hivi watu wafupi ni wa urefu kiasi gani?