rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,889
- 3,412
nimekuwa nikutana na watu tofauti hapa na pale na kuna kitu nime-note
watu wafupi hasa wanaume hawajiamini halafu ni wabishi sana,wakiongea kama wanatetea kitu au wanagombana huwa wanapiga vifua halafu wananyanyua miguu kwa nyuma kama wanataka kuruka,jamani mlishaona hiyo?maumbile ya mtu yanaweza kuonyesha tabia yake?