Maulidi Kitenge anaponyoa kihuni

Acheni kuchunguza na kuingilia maisha ya watu
hii imekaaje wadau maulidi kitenge amekuja na cut kama la ronaldo 'kibwenzi' kwenye luninga. Mwaka huu mbona kuna mambo!

kitenge.jpg

 
njia ya kutoka utotoni kwenda upumbavuni huanza kwa matendo kama hayo kwa mtu mzima



NA KWELI KABISA HATA MM HUWA NAMCHUKULIA BORA YA MTOTO KULIKO MAULID MANAKE HT UKIINGIA KWENYE FACEBOOK AKILI ZAKE ZA KITOTO TUPU KAZI KUJISIFIA MAMBO YA KIJINGA DUH, BASI SASA ASIPIGE PICHA NA KIONGOZI YEYETO au MTOTO WA KIONGOZI NI BALAA ATAMWELEZEA ILE MBAYA UKIJA KWENYE FAMILIA UTASIKIA MARA MWANANGU SHADYA HIVI,NA HIVI UTAFIKIRI DUNIANI YY NDIYE MWENYE MTOTO TU. mwanaume kuwa vile ni aibu kwa kweli kama anabembeleza kuja kugombea uongozi atumie njia nyingine kkuliko kujipendekeza au kujifagilia ovyo km mtu ambaye hana mwelekeo.Mmmh this ia too much.
 
Tatizo hako kajamaaa kanajifanya kajanja sana wakati hakana kitu chochote.

Watangazaji wengi wa radio na TV ni mambumbumbu .Wanadhani hiyo ni kazi bora kuliko zote .Eti wajiita maceb .Wapiiii kasomeni shule kwanza . Ukisoma shule hutanyoa kama huyu semi iliterate child .
 
Literal translation (Kiingereza kwenda Kiswahili)

Akili nyepesi huzungumzia watu
Akili za kawaida huzungumzia matokeo
Akili kubwa huzungumzia fikra za ubunifu.......

Safi sana bitimkongwe. Wakikosa cha kufanya wanakaa na kuanza kudiscuss watu wengine na mambo yao.
Kila mtu ana staili ya yake ya kunyoa na hata mavazi ili mradi mtu havunji maadiri.
Kama kunyoa hivo ni uhuni, je, tuwaiteje wale wanaume wanaosuka rasta????, na wengine kuvaa hereni????
 
Safi sana bitimkongwe. Wakikosa cha kufanya wanakaa na kuanza kudiscuss watu wengine na mambo yao.
Kila mtu ana staili ya yake ya kunyoa na hata mavazi ili mradi mtu havunji maadiri.
Kama kunyoa hivo ni uhuni, je, tuwaiteje wale wanaume wanaosuka rasta????, na wengine kuvaa hereni????

Kwetu hilo neno ni tusi kubwa sana sijui ulimaanisha the same?
 
ooh hana lolote ooh hana nini , nyie wenyewe ndo hamna lolote wivu tu u nawasumbua

hayo ni maisha yake binafsi si suala letu kumuingilia, staili za nywele na mavazi kama sio za kudhalilisha nyie zawahusu nini?

ujinga tu unawasumbueni
 
Back
Top Bottom