Maulid Baraka wa Kitenge

Mwachen jaman mbona kapendeza tu!
Sion alipovunja sheria ya nchi kwa kunyoa kiduku.
 
pretend to be a great thinker at least for some time bana.
Tukianza kusema mbona flani hivi na hivi, atatokea mtu atadai "...mbona RS alipigwa mtungo?",
halafu kwa standard ulizoweka itabidi tukubaliane nae.
Hapa tunamjadili Kitenge, na kunyoa kwake 'KIDUKU', je ni sahihi?

eh, kiduku ndio nini tena?
 
ni kweli hata mm niliskia and i heard kwamba he used to date with one foreigner belongs to diplomatic core..rumours hizi jamani!

Mtoto si rizki yule?
Naona yashakuwa hayo, hapa mi nazungumzia kiduku lakini, hayo ya kutoa mlango wa kuzimu,
MIE SIMO!
 
Kitenge alianza kunyoa kiduku enzi hizo kiduku inaitwa kibwenzi nadhani ana sababu nyingine binafsi au ya kimaumbile zaidi ya kunyoa kama style.
 
Ni uchaguzi tu wa mtu mwenyewe jamani, kila mtu ana personality yake na uchaguzi wa style unakuwa determined na personality ya mtu
 
Sio kiduku bana mbona miaka yote ananyoa hivyo hivyo .zamani sana alipokuwa mwandishi wa michezo wa gazeti la Mfanyakazi(wengi mlikuwa hamjazaliwa)alikuwa ananyoa para
 
Ni uchaguzi tu wa mtu mwenyewe jamani, kila mtu ana personality yake na uchaguzi wa style unakuwa determined na personality ya mtu

sasa uonavyo wewe kwa ile hadhi yake ni wa kunyoa ule mnyoo?
 
Back
Top Bottom