Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,639
muulize MWAKYEMBE ana jibu sahihiCCM wametawala miaka mingi ndio waje leo kuua? Think twice

Gazeti na Tanzania Daima la Tarehe 30 Mei, 2012 liliandika kwamba wafuasi wa CHADEMA 15 wameuawa . Habari hii inaungana na kauli ya JOHN Mnyika kwamba wafuasi 15 wa Chadema wameuawa.
Madai haya yanatisha kwa sababu CCM imetawala muda wote tangu uhuru hatujasikia kuwa ni chama cha wauaji, lakini inatisha zaidi kupata majibu kutoka CCM kwamba mauaji hayo yanafanywa na CHADEMA na kusingizia CCM kwa lengo la kujiimarisha kisiasa na kujenga chuki ya wananchi dhidi ya CCM.
Hizi tuhuma ni nzito si vema kuzisambaza bila kuchukua tahadhari ya kutosha. Kutupiana Tuhuma za mauaji au kuua si nyepesi na haziwezi kutangazwa bila ushahidi wa kutosha. Hadi sasa tuhuma hizi zimetugawanya hapa JF wako wanaoona kuwa hii ni mbinu ya CHADEMA kuongeza umaarufu na wapo wanaosema ni mbinu ya CCM kuwatisha wafuasi wa CHADEMA. Hakuna aliyejaribu japo kwa dots mbili tatu kuthibitisha kauli zake.
My take: Ni wapi tunakoelekea?
CCM juzi tu walimwua Mwenyekiti wetu wa USA RIVER.
Tena baada ya hapo wakatuma sms kwa Nassari kuwa sasa itakuwa zamu ya Mwenyekiti wa Sing'isi.
Ni mambo ya Intelijensia MAMA POROJO lakini ukifukua fukua kiundani unakuja kupata ukweli kuwa magamba wanawatuma green guard kuwaua watu wetu (Watanzania Wenzetu).
Gazeti na Tanzania Daima la Tarehe 30 Mei, 2012 liliandika kwamba wafuasi wa CHADEMA 15 wameuawa . Habari hii inaungana na kauli ya JOHN Mnyika kwamba wafuasi 15 wa Chadema wameuawa.
Madai haya yanatisha kwa sababu CCM imetawala muda wote tangu uhuru hatujasikia kuwa ni chama cha wauaji, lakini inatisha zaidi kupata majibu kutoka CCM kwamba mauaji hayo yanafanywa na CHADEMA na kusingizia CCM kwa lengo la kujiimarisha kisiasa na kujenga chuki ya wananchi dhidi ya CCM.
Hizi tuhuma ni nzito si vema kuzisambaza bila kuchukua tahadhari ya kutosha. Kutupiana Tuhuma za mauaji au kuua si nyepesi na haziwezi kutangazwa bila ushahidi wa kutosha. Hadi sasa tuhuma hizi zimetugawanya hapa JF wako wanaoona kuwa hii ni mbinu ya CHADEMA kuongeza umaarufu na wapo wanaosema ni mbinu ya CCM kuwatisha wafuasi wa CHADEMA. Hakuna aliyejaribu japo kwa dots mbili tatu kuthibitisha kauli zake.
My take: Ni wapi tunakoelekea?
Tarehe 30 Mei 2012? We bimkubwa nadhani bado uko njozini. Hebu amka asbhí ishapita. Hiyo tarehe haijafika bado. Acha kutizungua
Hili Hapa chini laweza kuwa uthibitsho:
Nani alimkolimba Kolimba?
Nani Alimpa sumu Mwaki-Embe?
Nani aliua wafuasi wa CDM Arusha wakati wakimkataa Meya?
Nani aliruhusu waandamanaji kule Sonea wauawe?
Tukipata majibu hapa tumetatua tatizo!
Hii habari ni ya uongo kwani tarehe iliyotaja haijafika, bado kama siku 23 hivi. sasa huu ni utabiri au ni maoteo?
Gazeti na Tanzania Daima la Tarehe 30 Aprili, 2012 liliandika kwamba wafuasi wa CHADEMA 15 wameuawa . Habari hii inaungana na kauli ya JOHN Mnyika kwamba wafuasi 15 wa Chadema wameuawa.
Madai haya yanatisha kwa sababu CCM imetawala muda wote tangu uhuru hatujasikia kuwa ni chama cha wauaji, lakini inatisha zaidi kupata majibu kutoka CCM kwamba mauaji hayo yanafanywa na CHADEMA na kusingizia CCM kwa lengo la kujiimarisha kisiasa na kujenga chuki ya wananchi dhidi ya CCM.
Hizi tuhuma ni nzito si vema kuzisambaza bila kuchukua tahadhari ya kutosha. Kutupiana Tuhuma za mauaji au kuua si nyepesi na haziwezi kutangazwa bila ushahidi wa kutosha. Hadi sasa tuhuma hizi zimetugawanya hapa JF wako wanaoona kuwa hii ni mbinu ya CHADEMA kuongeza umaarufu na wapo wanaosema ni mbinu ya CCM kuwatisha wafuasi wa CHADEMA. Hakuna aliyejaribu japo kwa dots mbili tatu kuthibitisha kauli zake.
My take: Ni wapi tunakoelekea?
Watanzania tunashindwa kuelewa kuwa siku zote binadamu ana adui anayemzunguka ila huwa anashindwa kuonesha uadui wake kwa woga. Mauaji yanayotokea siyo lazima yatekelezwe na Chadema wenyewe ama CCM eti kwa sababu tu za kisiasa. Watanzania lazima tuwe tayari kutafakati na kujiuliza ni nani adui yako kabla ya kuhusisha matukio haya na siasa, la sivyo tutajikuta tunaangamia kutokana na visasi vya siku nyingi tena ambavyo havihusiani kabisa na siasa.Gazeti na Tanzania Daima la Tarehe 30 Aprili, 2012 liliandika kwamba wafuasi wa CHADEMA 15 wameuawa . Habari hii inaungana na kauli ya JOHN Mnyika kwamba wafuasi 15 wa Chadema wameuawa.
Madai haya yanatisha kwa sababu CCM imetawala muda wote tangu uhuru hatujasikia kuwa ni chama cha wauaji, lakini inatisha zaidi kupata majibu kutoka CCM kwamba mauaji hayo yanafanywa na CHADEMA na kusingizia CCM kwa lengo la kujiimarisha kisiasa na kujenga chuki ya wananchi dhidi ya CCM.
Hizi tuhuma ni nzito si vema kuzisambaza bila kuchukua tahadhari ya kutosha. Kutupiana Tuhuma za mauaji au kuua si nyepesi na haziwezi kutangazwa bila ushahidi wa kutosha. Hadi sasa tuhuma hizi zimetugawanya hapa JF wako wanaoona kuwa hii ni mbinu ya CHADEMA kuongeza umaarufu na wapo wanaosema ni mbinu ya CCM kuwatisha wafuasi wa CHADEMA. Hakuna aliyejaribu japo kwa dots mbili tatu kuthibitisha kauli zake.
My take: Ni wapi tunakoelekea?
thibitisha kila mtu anasema lake