Mauaji ya Tarime - Mara yawabana Barricks!

Mkandara

JF-Expert Member
Mar 3, 2006
15,772
8,958
Wakuu zangu toka mauaji yaliyotokea huko Mara yamekuwa na mjadala mkali sana hapa ktk vyombo vya habari na jana tu nimeona ktk TV (CityTv) likizungumziwa..Na leo ktk pitapita yangu nimekutana na mtandao huu unaowapiga vita Barricks na Ufisadi wao..Pengine hili liwe amsho kwetu kwa sababu hata yule mwanamke aliyekamatwa ni mwandishi mashuhuri wa gazeti la hapa liitwalo Toronto Star!..

Amsho la Uzalendo ni leo - Bofya
 
Back
Top Bottom