nawapinga wote ktk shtaka la mauji hakuna dhamana na kuna mtu ametoa mada jana kuwa gazeti la nipashe limeripoti washtakiwa watatu wafikishwa mahakamani na kusomewa shtaka.Mahakama ya temeke haina uwezo na hata mahakama kuu haina uwezo wa kutoa dhamna kwenye kesi ya mauaji nasema tena haiwezekani wawe nje kwa dhamana.Ktk Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya jinai mashtaka yasiyokuwa na dhamana yameainishwa vema ni mauaji,ujambazi wa kutumia silaha,kitaka kuipindua serikali(Treason) sasa itakuwaje wasomewe shtaka afu wapewe dhamana kwa kigezo kipi???? Serikali haina huo uwezo wa kuingilia mahakama ktk fail lake eti mpe dhamana....JF jamani mkubali haiwezekani kamweeeeeeee.
itakuwa kama ya Zombe tu....nchi hii inasikitisha!