Mauaji ya Kiongozi wa CHADEMA Arusha: Watuhumiwa watoroka mahakamani mbele ya polisi!

Ok nime kupata mkuu!
Ila ondoa neno tetesi kwenye habari.
Mkuu ruttashobolwa, it is confirmed. Lakini pia ukinisoma between words unaweza kuona tayari ilikuwa confirmed. Ukiangalia kwa makini matumizi ya maneno niliyokuwa nayatumia utaona confirmation. But pole kwa usumbufu kamanda. I love constructive criticsim.
 
Huo ndo moyo unaotakiwa wa kukubali kukosolewa..sasa kwa kuwa wewe ndo muanzisha thread..nenda ka-edit post na uondoe hilo neno tetesi linalowachanganya watu..
Nimeipenda Comment yako, na mimi nimeshawasiliana na moderators kwenye heading waondoe neno Tetesi na waEndorse Comfirmed.
 
Looh! Afadhali limeitelekeza maana ingekuja kutuua huku mitaani! Nilitamani hilo jambazi lingemuua kabisa huyo polisi dhaifu ka n'kwere, tumb..f kabisa! Nimesikia yameua tena!
 
Asee kidogo nibuggy step. Mahesabu yangu ya udiwani 2015 nabadilosha! Sio njano tena! Gwanda napimisha kesho na kadi yao wataikuta pale kwenye njia panda!
Damu! Damu! Iko siku watu watalipa tu!
 
Juzi kwenye hotuba ya mwenyekiti wa magamba aliyoiacha baada ya kukwea pipa na kwenda kupumzika ughaibuni aliwatetea policcm na kwa habari wanajiamulia watakavyo,sasa kama wao walichinja kwa kisu watakaolipa kisasi watawachinja kwa chupa....time will tell.
 
Intelijensia alikuwa wapi wakati polisi akiporwa SMG?? na hiyo SMG ilikuwa na vitu vizito?? Isije ikatumika kwenye uhalifu na kuua raia wema? Ririkuwa Rikipambana na porisi tukarishinda!!
 
Huwezi kuwa smart ukawa upande wa CCM kwa sasa..cheki hiyo Bongo movie yao ambayo hata DVD moja hawawezi kuuza. Poor creativity.
 
kikwete asizani anaongoza wafu!! namwambia hv v2 vna mwishoo wake watz sio mazoba
 
Eeeeeeh hapo kazi ipo huyo askari mzembe sana

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Sasa nimesikia jmosi dr Slaa atakuwa Arusha na Nassari pia atakuwepo ninatumai atatoa tamko la kuendelea kuwamaliza magamba maana yeye haogopi mtu yeyote na kila mtu anajua kuwa yeye ndiye aliwatuliza watu wasiwashughulikie hawa jamaa toka mwanzo maana makamanda wengi wa usa river walikuwa wanawafahamu hawa wahusika........ wacha polisi wa ccm waendeleze movie wamesahau walitaka kucheza ya Mwangosi ikagoma sasa wanarewaind ya Mmbwambo wataipenda.
 
Tushukuru kwenye kifo cha mwangosi kamera zilikuepo,vinginevyo tungeambiwa alijitoa mhanga.!
 
Hapa ni rahisi saana ni kumkamata mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa wilaya na askari waliokuwa zamu
na ndio maana tunawakataa hawa madc kwa kuwa hawana kazi hii ni sawa na kashfa na mauaji ya mwangosi dc yupo tu hawajibiki lakini askari wamemtoa kafara.
 
Back
Top Bottom