Mauaji ya kichanga-mbinga

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
5,759
5,289
Hii imetokea muda huu hapa kigonsera wilayani mbinga.Baada ya mwanafunz mmoja wa kidato cha 3 ambaye alikuwa amesimamishwa masomo kutokana na kupata mimba, kujifungua peke yake polin then kumuua mtoto huo kwa kumdumbukiza ktk ndoo ya lita 20 iliyokuwa na maji kisha kuifunga ndoo hy kwa kifuniko.Baada ya unyama huo alibeba ndoo hyo na kuelekea makaburini ili azike peke yake.Hata hvyo zoez hlo lilishndikana baada ya raia kumkamata.
Chanzo:mimi mwenyewe nipo eneo la 2kio
 
ni bora iruhusiwe kutoa mimba kuliko kuzaa mtoto aje ateseke. najua mtanishambulia lakini hebu tulifikiri kwa mapana hili
 
Ukimjulisha jk hatochelewa kutoa kutoa majibu ya ajabu kama alijitakia mwenyewe, yafaa sasa jamii na wazazi kushirikiana ktk kuwalea vijana wetu ktk maadili ya kiroho kwani itakuwa ndo njia pekee yakunusuru majanga kama haya ma pindi vijana wetu watakaweka akilini kuzini ni dhambi hata hizi mimba za utotoni na zisizotarajiwa hazitakuwepo then mauwaji ya vichanga yatapungua kama sio kuisha
 
ni bora iruhusiwe kutoa mimba kuliko kuzaa mtoto aje ateseke. najua mtanishambulia lakini hebu tulifikiri kwa mapana hili

SI LAZIMA U DUU!
NA PIA KUNA NJIA
KIBAO ZA KUZUIA
MIMBA,AF MAJITU MENGNE HOVYOOO
UNAKUTA LINAOGOPA
mimba ila halijui kbs habari za ukimwi!
 
Back
Top Bottom