Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 3,804
- 1,871
- Thread starter
- #21
Haki ya kujitenga si kosa. Lakini hawa Wasomali wana ndoto ya kuunganisha maeneo yote wanayoishi Wasomali ikiwa pamoja na northern Kenya.
Umesahau vita ya shifta? Sasa hivi nina hakika Eritrea wana "regret" kujitenga na Ethiopia. Raia wake kila wakipata nafasi ya kutoroka nchi wanafanya hivyo kwa sababu Eritrea ni mojawapo ya failed states. Wangebaki pamoja na Ethiopia.
Achana na Propaganda, WAERITREA KAMWE HAWATAREGRET KUJITENGA NA ETHIOPIA. Ni tofauti ni Ethiopia ndio wanajiulaumu kuiachia Eritrea, na kwa hilo waethiopia wenyewe husema hawatamsamehe Melez Zinawi. Kinachowauma sana ni kukosa Bandari na kuigharimu nchi hiyo pesa nyingi kwa ushuru wa bandari.
WaEritrea walio nje kwa hiari yao wenyewe wanatoa kodi ya 2% ya pato lao kupeleka nchini kwao kwa ajili ya maendeleo ya nchi yao hususan katika ujenzi wa shule na hospitali. Nimekutana nao waetrea wenyewe wako so proud kwa kujitenga na ni nchi pekee iliyokataa misaada toka nje pamoja na umasikini walionao. Wasomi wengi huichukulia Eritrea kama mfano wa kuigwa, kama njia ya utatuzi halisi wa matatizo ya nchi za kiafrika kuondokana na utegemezi wa nchi tajiri.
Hizo unazozisema ni Propaganda za West, kwani kwa west kukataa msaada au kutokwenda kukopa fedha kwao ni kosa la jinai. Na Ethiopia WANAFANYA pROPAGANDA ILI WAPATE NJIA YA KUIVAMIA TENA Eritrea kwa ndoto ya kuichukua tena.
Huyu Dikiteta Melez anatumiwa tu na west kwa ajili ya geogrrfical strategic position nchi yake ilipo, baadae atatupwa kama Mabuto seseseko.