Mauaji ya Arusha!

Wasemavyo majirani ni kwamba dada alikubali kutoa pesa kiutulivu ila kwa sababu ya uoga akateleza akaanguka sasa hapo ndo jambazi likadhani ndivyo sivyo likamshoot huyo dada.
Ila ki ukweli silaha ambazo hazina kibali na zenye kibali zimekua nyingi sana hapa arusha, juzi mitaa ya Unga LTD kuna mtoto wa form one kateka mishkaki mitano kutoka kwa muuza chips kwa kutumia bastola.
hahahaha
yaani unamaanisha siku hizi hata wakitaka kuiba mayai ni kutumia pisto? tunako elekea sasa ndiko tulikokkuwa tunakuhitaji
 
Wadau nipo hapa ndani ya hospitali ya Mount Meru dakika hii na nikashuhudia Landrover ya police ikimteremsha marehemu na kwa kuwa bado nipo hapa bila shaka nitawajuza kichotokea na ni wapi yalikotokea mauaji haya ila kwa haraka tu nimepata hbr ya kwmb amevamiwa na majambazi.

Hapa nimemwona Kaimu kamanda wa polisi hapa Arusha Ali Mpwapwa amekuja hapa na bila shaka ni kuja kudhibitisha haya kama ni kweli na namwona ameingia humu ndani na amerudi ktk gari aina ya Landrover S/ Wagon aliyekuja naye na bila shaka ameshadhibitisha na ameshang'oa tayari na hata hii landrover iliyomleta marehemu inaondoka tayari.

Nitawajuza wadau!

mkuu tunasubiri mshindonyuma
 
Wasemavyo majirani ni kwamba dada alikubali kutoa pesa kiutulivu ila kwa sababu ya uoga akateleza akaanguka sasa hapo ndo jambazi likadhani ndivyo sivyo likamshoot huyo dada.
Ila ki ukweli silaha ambazo hazina kibali na zenye kibali zimekua nyingi sana hapa arusha, juzi mitaa ya Unga LTD kuna mtoto wa form one kateka mishkaki mitano kutoka kwa muuza chips kwa kutumia bastola.

Yaweza ikawa kweli lakini naamini majambazi hawaji kwako kama hawakujui vizuri, mpaka wanamvamia huyo dada lazima watakuwa walishafanya study zao kama ana silaha au la, kuna jirani mwenye silaha hayo maeneo na vingine na ndo mana wakiingia wanakuwa wanajiamini wanachukifata HAWANA sababu ya kumuua wakati wanajua hana cha kuwafanya, labda kama tu umewatambua ndo watakumalizia, kiukweli mwisho wa siku tu utajua visasi Arusha.
 
Wajibu wa kulinda maisha ya watu na mali zao ni wajamii nzima, Polisi ni wawezeshaji tu.Mm bado napata wasiwasi kama wezi wateka nduka la mtu mchana kweupe na Kibastora kisha wanaondoka na kutokomea bila hata kupigiwa kilele.Hiyo jamii inayozunguka mitaa hiyo iko wapi?Jamani tushikamane kuzuia umwagaji damu wa aina hii.Pole sana kwa wafiwa:poa
 
Kuna dada ana miliki duka la dawa maeneo ya sinoni karibu na shule ya msingi themi,masaa mawili yaliyopita dada uyo kapigwa bastola ya paji la uso na kupoteza maisha akiwa ktk duka la dawa na wezi hao wameiba like one million ambayo ilikua ni ya huduma ya M-PESA iliyokua inatolewa ktk duka hilo la dawa.
Sasa sina hakika ndo mwili uwo ama laa, endelea kudadisi hapo.

1 milion watu tunainywa bia siku moja nyie mnamuua dada wa watu? tena mwenye elimu yake.. si mngekuja hata hapa jf muweke contacts zenu niwatumie mawe.dah so sad
 
Wajibu wa kulinda maisha ya watu na mali zao ni wajamii nzima, Polisi ni wawezeshaji tu.Mm bado napata wasiwasi kama wezi wateka nduka la mtu mchana kweupe na Kibastora kisha wanaondoka na kutokomea bila hata kupigiwa kilele.Hiyo jamii inayozunguka mitaa hiyo iko wapi?Jamani tushikamane kuzuia umwagaji damu wa aina hii.Pole sana kwa wafiwa:poa

Ndugu yangu hii mambo wakati mwingine unaweza umiza kichwa bure, lakini watu wanakuwa na mchongo ukijipendekeza tu unajumlishwa siku hizi kama kenya kila mtu na hamsini zake hasa ukizingatia walikuwa na cha moto balaaaa.
 
bwana asema mwil wa binadam ni hekalu langu no one shall destroy it, chota mali ila roho yake muachie :embarassed2::embarassed2:
 
Wasemavyo majirani ni kwamba dada alikubali kutoa pesa kiutulivu ila kwa sababu ya uoga akateleza akaanguka sasa hapo ndo jambazi likadhani ndivyo sivyo likamshoot huyo dada.
Ila ki ukweli silaha ambazo hazina kibali na zenye kibali zimekua nyingi sana hapa arusha, juzi mitaa ya Unga LTD kuna mtoto wa form one kateka mishkaki mitano kutoka kwa muuza chips kwa kutumia bastola.

jamani hii ni kweli au utani ndugu mishkaki?nani kampa au kamuibia mzee wake?basi we are extremely doomed if its true.
 
You must be joking.... Lol
Juzi mtoto wa jirani yangu amekutwa anachezea risasi 16 na pingu alivyookota vikiwa vimesundwa kwenye shamba na mtu ambaye hajajulikana mpaka sasa, vibaka wadogo sana wanamiliki hizi pachacha ambazo hazina kibali.
 
Halafu mtu eti anasema Dodoma tu maisha magumu, anacheza nini!!
 
poleni wafiwa..........roho ya marehemu dada ipate rehema kwa Mungu. Amina
hali inatisha sana hasa kipindi hiki cha mwisho wa mwaka
 
Ni mwezi sasa umepita the same street maeneo ya daraja moja kuna mzee wamemuua akitoka dukani kwake wakachukua hesabu ya siku.
 
inabidi muwachome vibaka wote
arusha wanaogopana kutaja vibaka na majambazi akihoifa akimtaja watamfuata kumkomoa
majambazi wanajulikana sana polisi nao wanawalinda inabidi wananchi muanze wenyewe
 
Aliyeuawa ni MUME wa huyo dada. Kuna utata mwingi kuhusiana na kifo cha huyu ndugu!
 
Mkuu hii habari inakanganya sana..wengine wanasema ni mke, wengine wanasema ni mume, pia wapo wanaosema wote mke na mume. bado kuna utata kwenye hizi habari wakuu

watoa habari hawataki kutupa mshindo nyuma,sasa tumekuwa gizani
 
Wadau nipo hapa ndani ya hospitali ya Mount Meru dakika hii na nikashuhudia Landrover ya police ikimteremsha marehemu na kwa kuwa bado nipo hapa bila shaka nitawajuza kichotokea na ni wapi yalikotokea mauaji haya ila kwa haraka tu nimepata hbr ya kwmb amevamiwa na majambazi.

Hapa nimemwona Kaimu kamanda wa polisi hapa Arusha Ali Mpwapwa amekuja hapa na bila shaka ni kuja kudhibitisha haya kama ni kweli na namwona ameingia humu ndani na amerudi ktk gari aina ya Landrover S/ Wagon aliyekuja naye na bila shaka ameshadhibitisha na ameshang'oa tayari na hata hii landrover iliyomleta marehemu inaondoka tayari.

Nitawajuza wadau!

inasikitisha sana kuona mtu anapoteza maisha lakini hii inasababishwa na uongozi mbovu wa nchi hii hali inazidi kuwa ngumu ya kiuchumi watu mioyo yao inabadilika wanakuwa wanyama ,halafu tunadanganywa tanzania kuna amani uongo mtupu huu kumbuka kuna wakati walimpora anne kilango bahati nzuri hawakumfanyia kitu kibaya halafu wakampora mkuu fulani wa wilaya
 
Back
Top Bottom