Mauaji ya Arusha!

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
Wadau nipo hapa ndani ya hospitali ya Mount Meru dakika hii na nikashuhudia Landrover ya police ikimteremsha marehemu na kwa kuwa bado nipo hapa bila shaka nitawajuza kichotokea na ni wapi yalikotokea mauaji haya ila kwa haraka tu nimepata hbr ya kwmb amevamiwa na majambazi.

Hapa nimemwona Kaimu kamanda wa polisi hapa Arusha Ali Mpwapwa amekuja hapa na bila shaka ni kuja kudhibitisha haya kama ni kweli na namwona ameingia humu ndani na amerudi ktk gari aina ya Landrover S/ Wagon aliyekuja naye na bila shaka ameshadhibitisha na ameshang'oa tayari na hata hii landrover iliyomleta marehemu inaondoka tayari.

Nitawajuza wadau!
 
Kuna dada ana miliki duka la dawa maeneo ya sinoni karibu na shule ya msingi themi,masaa mawili yaliyopita dada uyo kapigwa bastola ya paji la uso na kupoteza maisha akiwa ktk duka la dawa na wezi hao wameiba like one million ambayo ilikua ni ya huduma ya M-PESA iliyokua inatolewa ktk duka hilo la dawa.
Sasa sina hakika ndo mwili uwo ama laa, endelea kudadisi hapo.
 
Jamani mil.1 tu wanathubutu kichukua uhai wa mtu?Si wangemtisha tu wakachukua pesa na kukimbia.

Nwy apumzike salama dada wa watu.
 
Kuna dada ana miliki duka la dawa maeneo ya sinoni karibu na shule ya msingi themi,masaa mawili yaliyopita dada uyo kapigwa bastola ya paji la uso na kupoteza maisha akiwa ktk duka la dawa na wezi hao wameiba like one million ambayo ilikua ni ya huduma ya M-PESA iliyokua inatolewa ktk duka hilo la dawa.
Sasa sina hakika ndo mwili uwo ama laa, endelea kudadisi hapo.

Mkubwa! Yani vifo vya hawa ndg inasikitisha sana kutokana na walivyouwawa bila hatia na kwa kuwa jana usiku nilishindwa kupata full story ya mauaji,hebu ngoja naingia mtaa wa central na bila shaka nitajuza mauaji yalivyokuwa. LAKINI INASIKITISHA SANA!
 
Wakuu huu mi siamini kama ni 1m tu ndo ilifanya wamtoe roho,
Ukiingia nyuma ya pazia utakuta labda alikuwa anatoka na mume wa mtu, siku hizi Arachuga ni mambo ya visasi hasa mapenzi ukitembea na mume/mke wa mtu ndo mambo yake hayo...unatumiwa tu vijana wa ngalelo babake kwishney.

Dhaa! Mungu mlaze mahali pema peponi marehemu.
 
Kuna dada ana miliki duka la dawa maeneo ya sinoni karibu na shule ya msingi themi,masaa mawili yaliyopita dada uyo kapigwa bastola ya paji la uso na kupoteza maisha akiwa ktk duka la dawa na wezi hao wameiba like one million ambayo ilikua ni ya huduma ya M-PESA iliyokua inatolewa ktk duka hilo la dawa.
Sasa sina hakika ndo mwili uwo ama laa, endelea kudadisi hapo.

yah...hii ilikuwa live bila chenga.......mbaya zaidi ilikuwa saa mbili kasoro madakika kadhaa usiku.......r.i.p marehemu..

Rip dada sa kama ni m
tu majambazi yako labda ma3 yamekula hasara ya risasi damu ya marehem itawasakama then
kamgao kaduchuu
wangemchapa makofi
mawili wanaondoka
na hela tena mwanamke
,itakuwa ni "inshu" tofauti bana
 
Wakuu huu mi siamini kama ni 1m tu ndo ilifanya wamtoe roho,
Ukiingia nyuma ya pazia utakuta labda alikuwa anatoka na mume wa mtu, siku hizi Arachuga ni mambo ya visasi hasa mapenzi ukitembea na mume/mke wa mtu ndo mambo yake hayo...unatumiwa tu vijana wa ngalelo babake kwishney.

Dhaa! Mungu mlaze mahali pema peponi marehemu.
Wasemavyo majirani ni kwamba dada alikubali kutoa pesa kiutulivu ila kwa sababu ya uoga akateleza akaanguka sasa hapo ndo jambazi likadhani ndivyo sivyo likamshoot huyo dada.
Ila ki ukweli silaha ambazo hazina kibali na zenye kibali zimekua nyingi sana hapa arusha, juzi mitaa ya Unga LTD kuna mtoto wa form one kateka mishkaki mitano kutoka kwa muuza chips kwa kutumia bastola.
 
You must be joking.... Lol
 
ina maana ndio nitakuwa nimepata ajira poshti......?

Hicho unachofikiria ni kosa kubwa. Ukisikia mtu anasaidia polisi usidhani anavalishwa gwanda halafu anaingia kazini! Ni kwata mbinyo na vichapo!
 
Back
Top Bottom