Mauaji Urambo

MotoYaMbongo

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,146
884
Muendelezo wa mauaji ya polisi umeendelea kutokea Urambo, Tabora.

Jana polisi wamemuua kwa kumpiga kijana anayeitwa Mgalula kwa kumtuhumu ni mwizi, hawakutaka kumpeleka mbele ya vyombo vya sheria ili haki itendeke.

Kwa kweli watanzania tusipokuwa macho hili jeshi la polisi la CCM litatumaliza. Inasikitisha sana vyombo vyenye dhamana na usalama wa raia ndio vinatoa uhai wa raia.


Tanzania inaelekea kubaya.
 
Mwisho wao unakuja hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho kila lenye mapana halikosi ncha
 
Walikua na taarifa za kiintelejensia kua...nafikiri tatizo liko kwenye viongozi wa juu,hawa wahusika wa mauaji holela wangekua wanawajibishwa na kushtakiwa sidhani kama mauaji haya yangeendelea,ila tatizo wanakumbatiwa,
 
usishangae ukasikia wanakwambia huyo kijana alitumwa na chadema aende akaibe.
 
Imefikia wakati watumishi wa jeshi la polisi kuwa wazalendo na KUWAJIBIKA.
IGP Mwema, imetosha hebu wajibika basi hata kwa haya ya Songea na Urambo
 
LAZIMA NI NUNUE BASTOLA MWAKA HUU,WAKIUA MTAANI KWETU NA MIMI NAWAUAAa
 
Mungu akupumzishe kwa amani mpiganaji Mgalula!!Mkuu mauwaji yametokea pande gani Urambo?chanzo hasa ni kipi hebu toa maelezo marefu kidogo tafadhari!!
 
Back
Top Bottom