Mauaji Tarime: Daktari atishiwa kuuawa

CCM mumeshaanza umafia wenu tena.CCM ni wauaji, bado tunakumbuka kuwa ni CCM waliomuua Chacha Wangwe ili waipakazie CDM wakashindwa, sasa wakimuua huyu Nyakarungu wajue moto utawaka Kaskazini, Mashariki, Kusini na Magharibi, kifupi nchi hii haitawalika tena .
 
Uuuwi baba mwalim jkn tusaidie wanao kila kitu vurugu huku,bado mda mfupi kila mtu atajihami kwa magobole na ak47 wakati nakua sikuwahi kusikia mambo kama haya! Au hakukuwa na media ya kutosha! Inatishaaa
 
Ina maana Polisi yetu haina ubavu wa kushughulikia watoa vitisho hao?????????? Kitengo cha IT si ni rahisi kuwafahamu na kuwabana, au ni wana maghamba wanatumia watu wao???? Nchi hii ipo hatarini kama ni hivyo, lazima ukweli uwekwe wazi na haki ipatikane, vinginevyo wananchi wanazidi kupandishiwa hasira!!!!!!!!!!

Vitisho hivi vimetoka kwa IGM mwenyewe , polisi wetu ni mafia mob.
 
waliouwa si ni polisi? na hata kama itabainika kuwa wameua kwa kukusudia ina maana itakuwa ni kashfa nyingine kwa jeshi letu.Hivyo basi hata aliyetuma ujumbe ni mtu aliyetumwa na polisi hao hao ili kuficha maovu yao.Hata hiyo kesi aliyofungua huko polisi haitafika popote kwani ni sawa na kesi ya Lowasa kumpelekea Rostam aitatue.

Huyo jamaa ni bora atumie wanaharakati kuliko kutumia jeshi la polisi.Hiyo kesi hapo ndo mwisho wake.
 
amtumie ela kupitia huduma za pesa mtandao atapata majina yao.

hakuna cha m wala tigo pesa hili ni jambo ambalo lipo ndani ya jeshi la polisi kumdaka huyo mtu, wanamtrack down na kisim chake cha kita hi chi hata kama yupo toilate,sema inategemea mazingira ya "inshu" yenyewe kama kuna wale ndugu zetu wa ngozi ngumu c kaz wakamrestisha in peace for sure
 
hivi hii nchi haina serikali?, kwamba kila mtu sasa ruksa kuua mwingine?

ishauzwa ndo mana raia hawaogopi tena polisi(wamechoka sana)na polisi wanalazmisha kutumia silaha za moto bila aibu kulazimisha wananji wawaogope hapo ndo inakuwa laana,watu wamejichokea hawaogopi wala kujal kufa,na wakt yote haya yakijiri sirikali inakuwa ziarani huko duniani ikipata tea na mazungumzo ya blablabalaa kusaka wawekezaji feki hahahahaaaa
 
Back
Top Bottom