Mauaji tanzania

Siyane

Member
Dec 26, 2010
46
9
Siku vitisho vya serikali dhidi ya madaktari vikifanikiwa kuwarudisha kazini yatatokea mauaji tanzania ya watu maskini wasiokuwa na uwezo wa kwenda apollo na kwingineko nje ya nchi kwa matibabu. Fikiria umeugua na unatibiwa na daktari mwenye hasira, kinyongo, gadhabu n.k. Ni kifo tu hamna la ziada.
 
hakuna kitu km hicho kwa madaktari, kuua si jambo la kushabikia, na taaluma zao ziko clear, uuwe kwakosa la mwingine??
hata kabla ya mgomo wagonjwa wamekufa sana kutokana na vitendea kazi vibovu.
 
Back
Top Bottom