Mauaji Arusha, Jeshi la Polisi walitumia Risasi za moto

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,225
Nashangaa, kwani ni Jeshi la Polisi walitumia risasi za moto??

Kuna Risasi za mpira, hata Uganda zipo.

Jeshi la Polisi lishitakiwe..

Jeshi la polisi Tanzania hawajui kuhusu rubber bullets
 
Bwana weee!
Mwandishi. Hebu jaribuni kuandika kwa kukumbuka kwamba kuna mtu mwingine atasoma message yako bila kufahamu unafikiria nini. Hii itasaidia kupunguza muda wa mahangaiko kutafuta maana ya meseji yako.
 
Back
Top Bottom