hahaha always done
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 800
- 1,075
nchi ya jirani, hatuna nne tuna ine, hao migration wa Tz hawadai pass, wao humtaka mtu ahesabu mpaka tano tu,? 1, 2,3,ine ..5 ;;
Afande pakia hili...
Afande pakia hili...
Sasa hawa watangazaji wa redio za mtaani ndio wanakera zaidi. Utasikia: "ulefu wa balabala....." Hahahahaja......ovyo.,.,Unakuta mtu badala aandike neno kwa usahihi analiandika katika matumizi ya herufi ambayo siyo na huku ni kuzuoesha wengine matamshi ambayo mwisho wa siku yatazidi kuharibu lugha ya kiswahili.
Mfano mtu anaandika neno ''kelo'' badala ya kero
''habali'' badala ya habari
''badara'' badala ya badala
''hasila'' badala ya hasira
Tujifunze matumizi sahihi ya herufi ndugu zangu, mazoea ni kilema. Hadi kwenye magazeti waliozoea kukosea matamshi haya huandika kwa kukosea pia.
Ahsanteni.
Duh! Hiki Kiswahili chako!Tatizo nyinyi watoto wa ki dar es saraama mnajifanya mnajuwa sana kufanya critic, mmesaau kuwa watu utofautihana ufaamu na mda mwengine ni makaso ya kibinadamu na wengine kiswahili sio lugha yao.