mabadilikosasa
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 379
- 85
Jamaa yangu alimpangisha nyumba yake. Mpangaji akapiga picha kwenye hiyo nyumba na kutengeneza document na mihuri feki kwamba hilo eneo ni lake. Akawahonga baadhi ya viongozi wa serikali ya mitaa wakasaini hizo document kwamba hiyo nyumba ni ya kwake.
Jamaa akatumie hela akawahonga maofisa wa mabenk mbalimbali na kuwapatia kiasi cha hiyo mikopo, ili wasiangalie sana hizo documents zake. Alifanikiwa kupata mikopo mbalimbali kama vile Finca, NMB, etc.
Cha kushangaza baada ya huyo mpangaji kuondoka 8 months later, mabank kadhaa yakawa yanajitokeza kudai huyo mpangaji alichukua mkopo kwa kutumia udhamini wa nyumba ya mpangaji wake. sasa sijui hii imekaaje? inakuaje mtu unapiga picha na nyumba inakua basis ya kupata mkopo? huu sii wizi jamani?
...........ina maana kazi ya mabank ni kufanya wizi? Tanzania kila kona ni wizi na dhuluma? katika ufatiliaji mpangaji alikamatwa na kukiri kufanya hiyo na kuanza kulipa mikopo yake lakini pia alikiri maofisa wa ma bank kupokea hongo ili kutoa hiyo mikopo