matumizi ya neno" nanilii"

a gal's gotta be shy a lil bit banaa!hilo neno linatumika kuficha neno ambalo tunaona aibu kulitamka. mbona hata baba nanilii analitumiaga akiomba naniliu?:A S-rose:
Najiuliza ni kuwa sasa ni fasheni au
ndio labda waofanya hivi wanafanya makusudi

pengine wakihisi wanakuwa more sexy...hasa wasichana....

unakuta mtu mzima,na shule kaenda lakini katika mazungumzo
unasikia anasema nanilii..
akimaanisha nanihii,

zamani ilikuwa ni watoto tu ndo wenye kukosea huku,
siku hizi wasichana wakubwa tu ndo zaidi....
na idadi inaongezeka.......

sasa huwa najiuliza hivi kusema "nanilii"

ni fasheni au kunasababishwa na nini??????????
 
Wengine wanaenda mbali na kusema 'naniliu'! Mara nyingi inatumika katika muktadha usio rasmi kuficha/kuacha kutamka/andika kitu ambacho mzungumzaji anahisi kitaleta ukakasi kwa wasilkilizaji/wasomaji.
 
Jina la mtu hilo, mchezaji wa Man utd Luis Nanii! So wengine hutumia km jina!
 
Back
Top Bottom