Matumizi ya mayonise katika chakula

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,250
12,868
habari za jumapili wadau, naomba kufahamishwa matumizi ya mayyonise katika chakula.
- inatumikaje?
- ina faida gani?
- inawekwa katika vyakula vya aina gani n.k.
 
kwenye salad madame......

Kwenye kachumbariiiiiii

au hata ukila chips, samaki wa kukaanga unaweka ketchup pembeni na mayonaise yako......

Sie wengine hadi kwenye mikate kwa mbaaaaaali unaweka mayonnaise
 
kwenye salad madame......

Kwenye kachumbariiiiiii

au hata ukila chips, samaki wa kukaanga unaweka ketchup pembeni na mayonaise yako......

Sie wengine hadi kwenye mikate kwa mbaaaaaali unaweka mayonnaise

ina faida gani mamie?
 
Mwanamke gani hadi leo hii hujui matumizi ya mayonnaise au hata faida yake?.....ukitoka kanisani pitia talaka yako hapa Landmark, Ubungo.

Hivi kwani my daughter ndio charminglady? It can't be maana dowuta wangu anavyopenda salad iliyowekwa mayonaise siwezi amini!
 
Last edited by a moderator:
charminglady ahsante kwa kutoa hii mada, maana nadhani umegundua kila ukiniwekea kwenye msosi uwa siigusi, mwenzio uwa siipendi na siielewi, ndo maana uwa sili kabisa
 
Last edited by a moderator:
Na moja ya raw material yake unapoitengeneza hiyo mayonaise ,eggyork,oliver oil.
 
charminglady ahsante kwa kutoa hii mada, maana nadhani umegundua kila ukiniwekea kwenye msosi uwa siigusi, mwenzio uwa siipendi na siielewi, ndo maana uwa sili kabisa

huz sasa nimegundua kitu, nahc nilikuwa nakosea matumizi. sasa utaipendaje huz.. . . tena mayyonise ya American Garden ni tamu niaje @C6. . .
 
Last edited by a moderator:
Yaani sipendagi hayo makitu charminglady lol.....yaani hata nikikuja nyumbani kwako usijaribu kunisogezea mezani!
 
Last edited by a moderator:
habari za jumapili wadau, naomba kufahamishwa matumizi ya mayyonise katika chakula.
- inatumikaje?
- ina faida gani?
- inawekwa katika vyakula vya aina gani n.k.

Maswali ya namna hii yanaashiria mdau fulani kuwekwa kwenye kona! Nyie subirini tu, mtakuja kuniambia!
 
Na moja ya raw material yake unapoitengeneza hiyo mayonaise ,eggyork,oliver oil.

Naomba nijulishwa kuhusu aina ya mafuta kwenye mayonaise ..kama ni mazuri au mabaya..Mie kila nikila huwa najihisi kuongeza weight...wataalamu please msaada.
 
habari za jumapili wadau, naomba kufahamishwa matumizi ya mayyonise katika chakula.
- inatumikaje?
- ina faida gani?
- inawekwa katika vyakula vya aina gani n.k.

unaweza kutumia mayyonise kama appetizer..., mi hupenda kuiweka kwenye salad, pia natuma sambamba na ketch up mfano kwenye chips nk. ila nasikia kuwa inaongeza hamu ya ku-do...sina uhakika sana na hii.
 
charminglady

japokuwa mayonaise ni tamu, lakini sio nzuri sana kiafya, i mean huwezi kuila kila siku, sababu ina chorestro ya kutosha. alternatively unaweza kutumia yogurt sauce kwenye salad zako. yogurt sauce inatumia natural ingredients na ni tamu sana, mimi ndio natumia hiyo siku hizi, na familia yangu wameikubali.
check this link for recipe https://www.jamiiforums.com/jf-chef/317608-yogurt-sauce.html

eat healthy

habari za jumapili wadau, naomba kufahamishwa matumizi ya mayyonise katika chakula.
- inatumikaje?
- ina faida gani?
- inawekwa katika vyakula vya aina gani n.k.
 
Last edited by a moderator:
Naomba nijulishwa kuhusu aina ya mafuta kwenye mayonaise ..kama ni mazuri au mabaya..Mie kila nikila huwa najihisi kuongeza weight...wataalamu please msaada.

Olive oil, japokuwa ni unsaturated fat kitu kibaya kwenye mayonnaise ni egg yolk. . .in general mayonnaise ina more than 70 percent fat composition
 
Back
Top Bottom