Matumizi ya Kinga (Kondomu): Yupi anayeamua itumike au isitumike, Mwanaume au Mwanamke?

Lazima itakuwa ilikuwa mara ya kwanza, maana kashasema alikuwa na mlupo!! :) Au milupo nayo huwa inaliwa zaidi ya mara moja? :) Pengine nimedandia treni kwa mbele kwa kujibu bila hata kujua nini maana ya mlupo!!

espeshale kama ame do ze nidiful cku ya kwanza ukaondoka umesuuzika kabisa kabisa., u knw war am saying?
 
by the way,
nyie wadada, hamjui taste au sijui niseme feel ya mtarimbo wenye ndomu na usio na ndomu?

ina maana jamaa anaweza akakwa mbia geuka hivi, halafu akaitoa na kuingi kavu na wewe usijue?
 
maneno hayo meti:D:D:D
 
by the way,
nyie wadada, hamjui taste au sijui niseme feel ya mtarimbo wenye ndomu na usio na ndomu?

ina maana jamaa anaweza akakwa mbia geuka hivi, halafu akaitoa na kuingi kavu na wewe usijue?

Off Topic Birigita kwani wewe ni mwanamme au mwanamke jina la kike maandishi kama ya kiume vile :confused:;)
 
Hili la kutumia au kutotumia condom lina gusa kote kwa mwanaume na mwanamke. Ukweli ni kuwa wote wanapenda kula chukuchuku isipokuwa wanataka kujionesha kila mmoja mbele ya sura ya mwenzake kuwa anajali lakini wakiingia mjengoni na wako peke yao mwisho huwa ni sterio tu.
 
watoto wa mjini wanaita KITU KITAMU:D:D
 
by the way,
nyie wadada, hamjui taste au sijui niseme feel ya mtarimbo wenye ndomu na usio na ndomu?

ina maana jamaa anaweza akakwa mbia geuka hivi, halafu akaitoa na kuingi kavu na wewe usijue?

nah nah nah ............lazima ujue bana
 
kuna mabinti huko SEKONDARI(mimi ni mwalimu wa sekondari jamani)......!wanaogopa MIMBA KULIKO UKIMWI.kwa hiyo kijana akimhakikishia tu kwamba atatumia WITHDRAWAL METHOD...!mtu anakula kitu kitamu
 
Back
Top Bottom