Masaki
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 3,463
- 752
ni kweli matumizi ya facebook yanaweza kuvunja ndoa,kwasababu watu wengi wanaochart kwenye facebook ni wanausisha zaidi mapenzi na sio kingine pia inawafanya watu wanakuwa so free kusema chochote na ata kukufanyia chochote,na usiweze kubisha coz inaonyesha details zako zote.
Aisee facebook watu wanatafunana asikwambie mtu. Na hizi simu za siku hizi zina internet kwa hiyo badala ya kutumia sms, watu wanachati kwenye facebook tu. Yaani there is no way unaweza kumkamata mkeo au mumeo kwenye sms. Na kuna zile zinaitwa BBM kwenye Blackberry nazo zina facilitate sana cheating.
Kwa kifupi technology has made cheating very easy!