Matumizi ya computer

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,293
33,078
Wengi wanatumia computer zao kwa kazi zao za kiofisi na mambo mengine madogo madogo , lakini wengi hawajui matumizi sahihi ya computer zao , ili zisiweze kupata mazara au asiweze kuthuriwa na vitu vingine vinavyohusu mitandao na mawasiliano

Hapo chini kuna maelezo kuhusu matumizi bora ya computer yako kama yalivyokubaliwa na wataalamu wengi wa katika fani hii , sio lazima uyafuate au kutekeleza huu ni ushauri tu kama ukifuata usipofuata ni juu yako wewe ni huyu anayesimamia utendaji wa hizo mitandao yako .

1 – Screen Savers - Wakati ukiwa hutumii computer yako kwa kipindi Fulani cha muda mrefu ukiacha computer yako pweke , kuna screen saver inakuja , hizi screen saver zinaweza kuingiliana na programme zako zingine unazofanyia kazi au kujifunza zikiingiliana zinaweza kusababisha matatizo katika computer yako au na programme zingine . UNASHAURIWA KUZIMA MONITOR KAMA HUTUMII KWA KIPINDI KIREFU AU ZIMA COMP YOTE .

2 – Power Management – Muda mwingi wakati computer yako ikiwa haitumiki inaweza kwenda katika sleep mode kama uliset hivyo , ikienda katika sleep mode maana yake haiwezi kufanya backup ya data zako au vitu vyako , hii itasababisha upoteze data zako ambazo hukuhifadhi ( save) na wakati mwingi kuharibu mfumo wa computer .

3 – Email Attachments – Virus wengi katika mambo ya mtandao wanarushwa au kusambaa kwa njia ya attachments , siku zote wakati unatumia attachement kwa mtu kama ni picha au documents mwambie kabisa kwamba katika email yangu kuna kitu hichi na kile nime attach , usifungue attachement ambayo hukutegemea kupata au hujapanga kuipata au wakati mwengine asiyokuwa na maelezo ya kutosha.

4 – Email Message – Email sio njia salama zaidi kwa mawasililiano , unaweza kumtumia mtu ujumbe kwa njia ya email akawatumia wenzake wengi kama forward katika mtandao au anaweza kubadilisha baadhi ya maneno kuelezea kusudio lake mwenyewe , usiseme kitu katika emails ambacho hungeweza kusema katika jumuiya ya watu wengi .

5 – Wallpaper Au Webshots – hizi picha au sanaa za katika computer yako kwenye desktop zinatumia sana memory ya computer yako na wakati mwingine inafanya computer yako isinzie au kwenda taratibu , tamu na iliyopendeza ni nzuri lakini kawaida ni bora .

6 – Bandwidth - Vitu vikubwa kama Muziki , Video , Picha na mambo mengine ambayo ni makubwa yanayopitishwa katika internet usipende sana haswa kama unatumia computer au mitandao ya makazini au mitandao ambayo watu wengi zaidi hutumia kwa kufanya hivyo spidi ya internet itakuwa ndogo na utasababisha hasara kwa watumiaji wengine na kwako pia .

Mwisho wa yote usipende kuonyesha watu au mtu mambo ya imani , vikundi vyako , siasa zako na siri zako zingine kwa njia ya mtandao haswa kwa watu usio wajua ambao huna uhakika yuko wapi na ana malengo gani na wewe .

1. Hakikicha computer yako na vifaa vyako ni vikavu wakati wote , havina vumbi , havina unyevu wala kitu chochote cha maji , tumia kitamba akikavu au pamba kavu kusafisha komputa yako na vifaa vyake .

2. Beba au shika cds , floppy na vifaa vingine unavyohifadhi kazi zako kwa uangalifu , usitumia cd au floppy na flash toka nje ya office yako bila taarifa maalumu au bila kujua kinatoka wapi

• Usitumie diskate chafu , au usizoziamini
• Usiacha diskate au flash katika computer wakati unatoka

3. Zima vifaa vya computer yako kabla hujaunganisha na computer yenyewe , usipende kutumia vifaa au sehemu legevu hakikisha kila sehemu unayo unganisha na computer imakazwa vizuri na unaiamini

4. Fanyia kazi zako zote katika computer yako , usichore au kufanya drafts katika makaratasi , hii itakusaidia kupunguza muda na kwenda na wakati zaidi ukitumia makaratasi ni kupoteza muda na kuchelewesha kazi zako

5. Siku zote hifadhi mambo yako au kazi zako katika flash au cds , kama chaguo namba mbili baada ya katika computer yako , kama hiyo pc ni ya kazini basi usipende kuweka vitu vya nyumbani katika mali ya kazini au serikali saa yoyote mwingine anaweza kuja kuitumia na kuon siri zako

• Hifadhi zako kila dakika 5 au 10
• Angalia na uhakikishe kazi zako zimehifadhiwa sehemu salama na ambayo haina shida wakati mwingi
• Weka alama au majina katika file zako na folders , na cds
• Linda data zako na document zingine
• Angalia watu unaoshirikiana nao katika kupashana taarifa kwa njia ya mtandao
• Jiandae kwa kazi zako kufanyika au kufanywa kwa njia rahisi zaidi siku zijazo kwasababu mambo ya technologia na mawasiliano

6. Ilinde computer yako na password kama ina kazi na data muhimu , mtu anayetakiwa kuwa na password yako ni msimamizi wa kazi zako au mkuu wa kitengo chako au kama una Administrator katika computer au shirika lenu password nzuri ni ya maneno zaidi ya 6 na ukichanganya na namba .

7. Angalia drive zako angalau mara 1 kila wiki kuhakikisha iko salama na inaweza kufanya kazi za kuhifadhi vitu na kufanya programme zingine unazohitaji heri kinga kuliko tiba

8. Fanya matengenezo katika computer yako mara nyingi angalau mara 3 kwa mwaka kila miezi 4 , kwa kupulizwa vumbi , kuangalia vitu vingine ndani kama vinafanya kazi vizuri kama cooling fan , ram , hadd na vitu vingine ambayo ni muhimu katika utendaji wa kazi

9. Usiburute au kuhamisha computer au vifaa vyake wakati imeshwa , siku zote zima halafu ndio uhamishe , kama wewe huwezi muite mtu anayejua mambo hayo akusaidie kuzihamisha au kuhamisha toka eneo moja kwenda eneo lingine .

10. Jenga mazoea na vifaa vya computer yako , jua nguvu zake na udhaifu wake na mambo menginemuhimu katika computer yako kwa njia hiyo utaepuka mengi yanayoweza kukukuta siku za mbeleni
 
11. Zima Computer yako kwa utaratibu unaotakiwa, yaani click START>Shut down>Turn Off your PC na sio kuzima moja kwa moja kwenye umeme. Subiri PC imalize taratibu zake na mwisho kabisa ndio uzime kwenye umeme
 
12. Usiweke vitu vyenye sumaku kali (kama subwoofer) karibu na computer yako, vinaweza kuathiri kumbukumbu zako, au kuharibu monitor.
 
Back
Top Bottom