matumizi ya bb codes kwenye facebook

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,745
2,338
hivi inawezekana ku-post kwa rangi au any other formating katika social network facebook so called bb codes, kama nilivyofanya kwenye hilo neno!na kama inawezekana 2saidiane basi!
 
General haiwezekani ila kunatokea bugs wakati flan kunakua na vicodes codes vinafanya kazi
 
Back
Top Bottom