Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,315
- 33,109
Asali na Ndimu sio sumu wala Asali na Tango sio sumu vyote hivyo ni vyakula tu alivyoumba Mwenyeezi Mungu. Viko vyakula ukivichanganya vinaleta Madhara kwa binadamu lakini sivyo hivyo nilivyo vitaja mkuu achana na hao wazushi wa mambo kuuliza hawaulizi eti wao wakisikia kwa Wazee wao wa kizamani wanaamini bila ya kufanya utafiti.Je tango na asali je?? nilisikia pia ni sumu mbya....Mzizi Mkavu tujuze kaka....:juggle: