Tango na asali hata mimi nimewahi kusikia...Mimi nimewahi kusikia ukila tango na asali ni sumu inayoua mara moja. Kuna mwingine amewahi kusikia hilo? Kuna ukweli wowote?
Duuh,jamani duniani kuna mambo,maana aliyeniambia kuwa ukichanganya hivyo vi2 vi2 inakuwa sumu,kwa kweli alisema kwa comfidence ya ajabu na msisitizo sana hata nikaogopa sana,anyway i'll try to mix an see
Wewe nani kakufundisha kuwa asali na ndimu kuwa ni sumu?mimi nikiumwa na Mafua huku niliko natumia limao pamoja na asali na maji ya uvuguvgu mbona sijakufa? kama kitu haujuwi bora uulize sio kusikia tu usizushe maneno tu kama hujuwi uliza.Labda kwa kuwa unatumia chaini na majini,wanasema ukichanganya moja kwa moja,inaleta reaction ambayo inavuruga na kukata kata utumbo na kusababisha kifo cha ghafla
Je tango na asali je?? nilisikia pia ni sumu mbya....Mzizi Mkavu tujuze kaka....:juggle:
Kakwambia nani wewe kuwa Asali na ndimu ni sumu mimi mbona huku natumia kila siku asubuhi kwa ajili ya ugonjwa wa mafua?je unao ushahidi kuwa asali na ndimu ni sumu ? tupe ushahidi wako?poleni sana ukweli ni huu hapa Asali na limao ni dawa ya kumengenya chakula.
Asali na Ndimu ni sumu tena inaua naomba usijalibu kuitumia kabisa
Hata mimi nimweahai kusikia tango, asali na ndimu ukivichanganya pamoja ni sumu inayoua mara moja labda tupanye majaribio kwa kumnywesha paka au panya.Mimi nimewahi kusikia ukila tango na asali ni sumu inayoua mara moja. Kuna mwingine amewahi kusikia hilo? Kuna ukweli wowote?
Ni dawa lakini hachanganyi paoja yaani tango, asali na mdalasini si unaona tango linaliwa na chakula.
Sss..sa..sasa si.sisiungejaribu uone kama utapata sudden death...tehee!!Thanks,walioniambia walizungumzia hasa hilo suala la reaction,na wakasema kuwa hiyo reaction inavuruga na kukatakata utumbo na kusababisha sudden death!
Na Mimi huwa napiga asali ndimu na maji ya Uvuguvugu kila siku asubuhi kwa jaili ya kinga ya Mafua huku nilipo ninafikiri na mimi nimesha kufa Lakini sijijuwi ?????? Mkuu waambie hao waache imani Potofu hiyo.hakuna sumu hapo. mimi napiga asali ndimu kila asubuhi, au ndio nimeshakufa lakini sijijui!!!
naomba msaada Great thinkers,je ni kweli kuwa ukichanganya asali na ndimu/limao inakuwa sumu kwa binadamu?je kuna ukweli wowote wa kisayansi(chemistry)?
hakuna sumu hapo. mimi napiga asali ndimu kila asubuhi, au ndio nimeshakufa lakini sijijui!!!